PreGE2025 Spika Dkt. Tulia: Kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa

PreGE2025 Spika Dkt. Tulia: Kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Wakuu!

Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini

Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ameeleza kuwa Bunge haliwezi kujadili kuhusu madai na tuhuma mbalimbali zinazoelekezwa kwa Jeshi la Polisi kuwa wanahusika na masuala ya utekaji wa raia kutokana na kutokuwa na uhakika na uthibitisho wa Polisi kuhusika na matukio hayo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kulingana na Spika Tulia aliyekuwa akizungumza na Chombo Kimoja cha habari ameeleza pia kwamba matumizi ya neno Utekaji yamekuwa sio sahihi, akidai kuwa neno hilo limerahisishwa matumizi yake na wakati mwingine kuchanganywa na watu kupotea ama kutokuonekana kama ambavyo imekuwa kawaida ya watu fulani kuonekana kwenye maeneo fulani fulani.

"Sura inayoletwa Bungeni sio kwamba tujadili utekaji ni tujadili utekaji wa Polisi, Mimi sina taarifa kuwa Polisi ndio wanaoteka na yeye (Mbunge) alileta kwa sura kuwa Polisi ndio wanaoteka sasa Bunge haliwezi kujadili hoja kama hiyo. Kwanini? Bunge linapojadili hoja lazima litoe maazimio na tukitoa maazimio lazima tuiiagize serikali, haya tukishajadili polisi wanateka tunaiagiza nini Serikali? ivunje Jeshi la Polisi?" Amehoji Spika Tulia.

Video: UTV
 
Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini

View attachment 3327188
Usipika wake utakoma tu.

Siku mtoto wake au Mumewe au Ndugu yake atakapovamiwa usiku, Akapigwa na kujeruhiwa Kisha wakaondoka naye, , ndo atajua Kuna utekaji au
 
Kwahiyo Mdude ndo wamempoteza hivihivi na habari zake haziandikwi tena. Dah inasikitisha sana.
 
Hiki kimwanamke ni kibaya kila kitu, mwili, sura na roho
 
Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini

View attachment 3327188

Video: UTV
Hawa wanawake, au
Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini

View attachment 3327188

Video: UTV
Nataka kusema, sijui niseme, au basi niache tu. Nisimkosee MUNGU na binadamu
 
Wanawake nimakatili kulko wanaume

Wazee wetu waliona mbali wakawapa kazi ya

Kuzaa na kulea watoto na kupika

Kupitia samia na tulia nimejifunza wanawake ni watu katili sana
Ameongea kisheria zaidi sasa wewe unaangalia kisiasa zaidi.
 
Back
Top Bottom