Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Ameona yule mwenye jina LA kubembelezea mtoto anakuja kwa kac ikambdi aangalie tonge kwanza uzalendo badaeHata Mkapa aliwahi kusema hatapeleka pesa ya maendeleo kwenye majimbo ya wabunge wa upinzani.
Ndio maana ilishasemekana ukisomesha manamba hamtaendelea hata kwa nini, itabaki tu ubaguzi usio na tija. Wote tunalipa kodi haijalishi mpinzani au chama dola.kwani walengwa wa hiyo bajeti ni kina nani?hovyo hili zee.yani kodi zetu wanaamua wampe nani na nani wasimpe?ukichaa gani unawapata hawa maccm ya awamu hii?mimi nalipa kodi ikamsaidie hata mwananchi wa tandahimba huko,sasa yeye nani kutuamulia matumizi ya kibaguzi haya??????mbona hawa watu wanalewa madaraka kupitiliza jamaniii??.nawalaaani.kama hawataki kura za hapana huo upigaji kura wa nini????
Kama ni kweli kasema....basi majimbo ya upinzani yasilipe kodi watafute maendeleo yao wenyewe.......wajitenge...
Duuhh .........hatari huwa ina anza hivi.
Wabunge wengi wa CCM wapo very small minded, huwa ni ndio mzee, hawana uwezo wa kudadavua na kuelewa mambo,Jenista kapiga swali la msingi sana hawa wabunge wanaopinga bajeti wasiruhusiwe kabisa kuuliza maswali yakimaendeleo kwakuwa hawataki maendeleo.