Kama ingekuwa Sitta ningesema Spika Mstaafu.
Ni baada ya eneo hilo kuwa shwari,hakuna tena tishio la vurugu.
source:Kova ni kaka yangu,ninaishi kwake,alituambia hivo jana usiku
Ukinijibu hapa kweli ntaamini uliyoyaandika,"umwari jachuri? mavuko joli?"
yani unaishi kwa kaka yako mpaka umri huo du?Ni baada ya eneo hilo kuwa shwari,hakuna tena tishio la vurugu.
source:Kova ni kaka yangu,ninaishi kwake,alituambia hivo jana usiku
Kipenzi chako peke yakoSijajua mpaka sasa tafsiri yake ni nini, lakini lililotokea ni kwamba wale askari wa FFU waliokuwa wanailinda nyumba ya Mh. (Spika wetu kipenzi )wamepewa amri ya kuondoka na kuacha lindo hilo la nyumba binafsi ya Mh. Spika.
yani unaishi kwa kaka yako mpaka umri huo du?
alokire
alokire
fafanua unamaanisha makinda au mzee sitta maana ndio spika kipenzi.
fafanua unamaanisha makinda au mzee sitta maana ndio spika kipenzi.