tototundu Senior Member Joined Jul 29, 2009 Posts 198 Reaction score 40 Jan 13, 2016 #1 Kama nilivyopima kupitia www.speedtest.net just now. Amazing!
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Jan 13, 2016 #2 Mkuu umepata hivyo kwa sababu wengine kuanzia asubuhi simu zinasoma E tu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,071 Reaction score 831,692 Jan 13, 2016 #3 WAHEED SUDAY said: Mkuu umepata hivyo kwa sababu wengine kuanzia asubuhi simu zinasoma E tu Click to expand... Halafu haidumu
WAHEED SUDAY said: Mkuu umepata hivyo kwa sababu wengine kuanzia asubuhi simu zinasoma E tu Click to expand... Halafu haidumu
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,074 Reaction score 43,540 Jan 13, 2016 #4 mbona speed ya kawaida sana kwa 4g? mimi tanga napata 20+ mbps na zipo humu screenshot za watu kibao wanapata speed zaidi.
mbona speed ya kawaida sana kwa 4g? mimi tanga napata 20+ mbps na zipo humu screenshot za watu kibao wanapata speed zaidi.
srinavas JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,270 Reaction score 4,182 Jan 13, 2016 #5 mshana jr said: Halafu haidumu Click to expand... Ila kiukweli 4G ipo vizuri sana.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,071 Reaction score 831,692 Jan 13, 2016 #6 norkim1991 said: Ila kiukweli 4G ipo vizuri sana. Click to expand... Mimi kwenye internet nina gundu na huu mtandao
norkim1991 said: Ila kiukweli 4G ipo vizuri sana. Click to expand... Mimi kwenye internet nina gundu na huu mtandao
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 13,826 Reaction score 39,474 Jan 14, 2016 #7 Dah mimi nipo nakomaa na spidi za kobe bora niwakimbie hawa jamaa sijui nihamie Halotel hao tigo na voda bundle zao zimekuwa na gharama kubwa sana Attachments Capture3.PNG 53.9 KB · Views: 113
Dah mimi nipo nakomaa na spidi za kobe bora niwakimbie hawa jamaa sijui nihamie Halotel hao tigo na voda bundle zao zimekuwa na gharama kubwa sana
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,074 Reaction score 43,540 Jan 14, 2016 #8 Cannabis said: Dah mimi nipo nakomaa na spidi za kobe bora niwakimbie hawa jamaa sijui nihamie Halotel hao tigo na voda bundle zao zimekuwa na gharama kubwa sana Click to expand... kama una kifaa cha 4g, kanunue modem ya tigo 4g kwa sh 50,000 (ulizia kama ofa ya gb 90 ipo), uza modem bei ya hasara hata 30,000 enjoy gb zako 30 kila mwezi kwa muda wa miezi 3.
Cannabis said: Dah mimi nipo nakomaa na spidi za kobe bora niwakimbie hawa jamaa sijui nihamie Halotel hao tigo na voda bundle zao zimekuwa na gharama kubwa sana Click to expand... kama una kifaa cha 4g, kanunue modem ya tigo 4g kwa sh 50,000 (ulizia kama ofa ya gb 90 ipo), uza modem bei ya hasara hata 30,000 enjoy gb zako 30 kila mwezi kwa muda wa miezi 3.
S Soki JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 1,303 Reaction score 281 Jan 14, 2016 #9 Mkuu kwani hiyo 4G imeenea maeneo gani?
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,031 Jan 15, 2016 #10 tototundu said: View attachment 316543 Kama nilivyopima kupitia www.speedtest.net just now. Amazing! Click to expand... Hiyo speed kimeo..hata halotel 3g imepita hapo
tototundu said: View attachment 316543 Kama nilivyopima kupitia www.speedtest.net just now. Amazing! Click to expand... Hiyo speed kimeo..hata halotel 3g imepita hapo