Huyu kijana anauwezo wa kuitendea haki fani yake ya uandishi na kukoleza vyema kampeni za UKAWA.
Leo amenifurahisha sana, mwisho wa kuripoti habari ya leo amemaliza kwa kusema "Katika mkutano huu Lowassa amevunja rekodi yake mwenyewe aliyoiweka mwezi augost wakati akutambulishwa kuwa mgombea urais wa UKAWA". It means Magufuli hakufurukuta kabisa.