cyber ghost
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 239
- 162
speed around 20 hadi 30mbps sema support yao ni mbovu sana nilitumia siku moja tu nikaachana nao. niliwapigia kuhusu iasue za kuongeza vocha na kujiunga vifurushi wanataka hadi ulogin kwenye site yao na kuongezea pamoja na kujiunga huko.
ila ofisini kwao waliniambia mwezi wa 5 (ambao ndio huu) watazindua rasmi 4g/3g/2g hivyo huenda waka improve
sina uhakika mkuu ila hawa jamaa wanao uwezo wa kusambaza nchi nzima wakitaka.Kwa nchi nzima au bongo tu hizo 4g/3g/2g
Simu yangu ina 3g vipi 4g itakubali?speed around 20 hadi 30mbps sema support yao ni mbovu sana nilitumia siku moja tu nikaachana nao. niliwapigia kuhusu iasue za kuongeza vocha na kujiunga vifurushi wanataka hadi ulogin kwenye site yao na kuongezea pamoja na kujiunga huko.
ila ofisini kwao waliniambia mwezi wa 5 (ambao ndio huu) watazindua rasmi 4g/3g/2g hivyo huenda waka improve
Kwahiyo chief mkwawa wewe ulitumia kabla hawaja anzisha huu mfumo wao wa 4G? Navipi zile mifi zao zinaweza kuchakachulika kuwa universal??speed around 20 hadi 30mbps sema support yao ni mbovu sana nilitumia siku moja tu nikaachana nao. niliwapigia kuhusu iasue za kuongeza vocha na kujiunga vifurushi wanataka hadi ulogin kwenye site yao na kuongezea pamoja na kujiunga huko.
ila ofisini kwao waliniambia mwezi wa 5 (ambao ndio huu) watazindua rasmi 4g/3g/2g hivyo huenda waka improve
Simu yangu ina 3g vipi 4g itakubali?
Simu yangu ina 3g vipi 4g itakubali?
nimetumia 4g, na bei ya mifi zao unanunua mpya universal na change inabakiKwahiyo chief mkwawa wewe ulitumia kabla hawaja anzisha huu mfumo wao wa 4G? Navipi zile mifi zao zinaweza kuchakachulika kuwa universal??
Dah basi ni wakupuuzwa haina haja tenanimetumia 4g, na bei ya mifi zao unanunua mpya universal na change inabaki
ninachomaanisha tafuta router universal, usihangaike kununua router kila mahala, hivi vi mifi vya 4g unavipata chini ya laki 1 ebay au hata hapa bongo uwe makini tu na bandsDah basi ni wakupuuzwa haina haja tena
Dah natafuta mifi ya universal 4G lakini hapa dar kunasehemu wakaniambia 250,000 nikaona bora niache nikanunue tecno C5 ila nikipata mahali hapa bongo inapatikana kwa chini ya laki na nusu nachukuaninachomaanisha tafuta router universal, usihangaike kununua router kila mahala, hivi vi mifi vya 4g unavipata chini ya laki 1 ebay au hata hapa bongo uwe makini tu na bands
njia rahisi zaidi ni kununua usb router inayokubali modem, halafu na modem ya 4g halafu unlock modem ya 4g utakuwa na universal router nzuri tu. kuna jamaa hapa jf niliona anaziuza kule store kwa 80,000Dah natafuta mifi ya universal 4G lakini hapa dar kunasehemu wakaniambia 250,000 nikaona bora niache nikanunue tecno C5 ila nikipata mahali hapa bongo inapatikana kwa chini ya laki na nusu nachukua
nimetumia 4g, na bei ya mifi zao unanunua mpya universal na change inabaki
kama utanunua ya kuchomeka modem itakuwa ni around 100,000-150,000 ila ukitafuta modem ya wifi ukachomeka kwenye powerbank itazidi kuwa rahisi. sema hakuna modem za wifi za 4gb ambazo nimeziona ila ebay ni kama dola 20 hiviUniversal ni bei gani?
Mkuu Hivi Hawa TTCL Wanatumia Frequency LTE Band Gani? na Je Wameshafika Mwanza au Bdo Dar tuu kwa sasa?ninachomaanisha tafuta router universal, usihangaike kununua router kila mahala, hivi vi mifi vya 4g unavipata chini ya laki 1 ebay au hata hapa bongo uwe makini tu na bands
1800 ndio ya TTCL na kuhusu mwanza sifahamu walinambia mwezi wa 5 wangesambaa zaidi ila sijafatiliaMkuu Hivi Hawa TTCL Wanatumia Frequency LTE Band Gani? na Je Wameshafika Mwanza au Bdo Dar tuu kwa sasa?
Walishapotezaga dira hao.speed around 20 hadi 30mbps sema support yao ni mbovu sana nilitumia siku moja tu nikaachana nao. niliwapigia kuhusu iasue za kuongeza vocha na kujiunga vifurushi wanataka hadi ulogin kwenye site yao na kuongezea pamoja na kujiunga huko.
ila ofisini kwao waliniambia mwezi wa 5 (ambao ndio huu) watazindua rasmi 4g/3g/2g hivyo huenda waka improve