Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
- Thread starter
-
- #41
mkuu hmbona kwenye tariff zao hiyo bundle ya standard month ni 15,000sh vipi unalipa 45,000?
With Tigo it is easy to access the internet with your phone. Choose package, text in the keyword, and you are ready to go!
Light day – 450 tsh Text in Light day to 15166
Light week- 2,500 tsh Text in Light week to 15166
Light month- 9,000 tsh Text in Light month to 15166
Standard week- 4,500 tsh Text in Standard week to 15166
Standard month- 15,000 tsh Text in Standard month to 15166
@uncle rukus, vipi jinsi ya kujiunga?
namaanisha unatype keyword gani? na kwenda namba gani?
Dowload big file, use DAP na utupe result ya download tutajua kwa ngapi hiyo
Ukiangalia picha mbili za mwanzo utaona kuna ka pop up window, Ka-VUZE ambayo ni torrent download, inaonyesha speed ya jinsi inavyo shusha files.... Akika maisha ni matamu sana ukiwa na mtandao wenye speed... hadi siku hizi na hack vijiserver ushwara hah hah hah hah:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
voda inabidi wajipange upya
Bora mkuu na wewe umeniunga mkono wasije sema oooh Uncle Rukus anatudangaya maana hapa JF baadhi ya watu ni wabishi ile mbaya!
acheni uzushi nyie hamuwezi kufananisha TTCL na hivo vi modem vyenu vya wireless hata siku moja, tuwe wakweli kwanza hapa ni propaganda tu za tigo kutafuta watea wa internet,,
acheni uzushi nyie hamuwezi kufananisha TTCL na hivo vi modem vyenu vya wireless hata siku moja, tuwe wakweli kwanza hapa ni propaganda tu za tigo kutafuta watea wa internet,,
acheni uzushi nyie hamuwezi kufananisha TTCL na hivo vi modem vyenu vya wireless hata siku moja, tuwe wakweli kwanza hapa ni propaganda tu za tigo kutafuta watea wa internet,,
Kwani umeambia jamaa anafanya promo ya Tigo? Uncle ameexperience kitu anachoona ni kizuri kushare na wanajamii; na ameeleza kwa kadri ya uzoefu wake, kama uko interested you join in, youll find out the rest, na kama unaona haijakaa poa unapotezea! Wabongo bana!
Mkuu Jrnedy,Bwana uncle naona umelike post ya mdau aliyeniponda it seems like you wanted to say the same. Anyway, Nashukuru kwa kuclarify hiyo detail ya bundle size! Labda nikupe simple analysis ambayo amoeba ameshindwa kuifikiria.
Rates za internet bundle(comparison ya cost ya 1 mb) - kwa bundles ambazo nimewahi kutumia
airtel - 2500 TZS/400MB = 6.25 TZS/1MB (mwanzoni speed was good saivi mbaya sana)
ttcl - 200,000 TZS/20GB = 9.77 TZS/1MB (far better speed than the three)
vodacom - 30,000 TZS/ 12GB = 2.44 TZS/1MB (the unlimited one - 12 ni max i downloaded)
to compare now with tigo (kwenye speed imeshawapiku wote hata ttcl hafiki 2.5mbps)
tigo - 45,000TZS/50GB = 0.88 TZS/1MB
CONCLUSION:
Tigo unapata highest speed kulilko mitandao mingine (2.5mbps) lakini pia unanunua 1 Megabyte kwa centi 88 tu badala ya shillingi 2.5, 10, 6 kwa voda, ttcl na airtel respectively. Goja tuone!
Uncle Rukus,hyo 3G ya tigo inapatikana dar peke yake?mbona niko Mwanza city centre siipati,mwenye kujua coverage areas aniambie ili nisisumbuke kupoteza hela za bure!
Bwana amoeba you obviously was in a bad mood when you were writing this comment, umeiangalia comment yangu kwa angle tofauti, my only intention was to get more information (na kama wewe ungekuwa kweli mtumiaji mzuri wa internet ungeona kuwa detail kuhusu amount of data ie bundle size ni detail muhimu)! Ila it's a free country, you are entitled to your views.