Japo nikiwa ndani ya nyumba speed inapungua sana, nikitoka nje ni balaa kama unavyoona kwa screen shots
Labda nitoke nje ya mada kidogo mkuu,unatumia simu gani?
Ngoja nikuambie kitu labda uenda ufahamu vizuri, siri ya mtungi season 1 ni episodes 13, na msimu wa pili ni hivyo hivyo, soo wanapo sema msimu wa pili ni muendelezo kuanzia episode ya 14 hadi ya 26.
TECNO hiyo si unaona GPS iko active.
asante sana, ngoja niicheki youtube naona niliyokuwa nayo kweli imeishia episode 13. na youtube nimeona hadi episode 25 na episode zingine zingine
Hapo umesema ukweli,hizi speed ya hii mitandao inatofautiana kutoka eneo moja hadi lingine.si mchezo, ila inategemea na eneo
Airtel ni mwisho wa matatizo hii ni speed nayopata karibia kila siku.
tubemate hyo mkuu ,ukitaka kupima speed jaribu kwa hyo bittorrent uone speed yako ilivyo..almost mitandao yote ukitumia tubemate utajiona una speed.
tubemate hyo mkuu ,ukitaka kupima speed jaribu kwa hyo bittorrent uone speed yako ilivyo..almost mitandao yote ukitumia tubemate utajiona una speed.
huwezi kupima speed kwa kutumia torrent sababu speed unayopata kwenye torrent ina factor nyingi ikiwemo kuwepo kwa seeder wa kutosha. watu wawili wenye internet zenye speed sawa watadownload kitu torrent kwa speed tofauti ikiwa mmoja ana seeder wengi na mwengine anao wachache.
njia nzuri ya kupima speed ni youtube kama jamaa alivyoleta sababu server zao zinakupa unlimited speed kadri mtandao wako utakavyoweza kupakua
hta seeder wawe wengi vp huwez kupata speed inayoonekana hapo kweny tube mate,nilitaka ujue kua tubemate sio kigezo kikubwa sana..kwa hali ya kawaida hata IDM huwez pata hiyo speed.labda tujadili inakuaje tubemate ifike eti 16mbs at the same time unajikuta una 300kbs kwa downloader zinginehuwezi kupima speed kwa kutumia torrent sababu speed unayopata kwenye torrent ina factor nyingi ikiwemo kuwepo kwa seeder wa kutosha. watu wawili wenye internet zenye speed sawa watadownload kitu torrent kwa speed tofauti ikiwa mmoja ana seeder wengi na mwengine anao wachache.
njia nzuri ya kupima speed ni youtube kama jamaa alivyoleta sababu server zao zinakupa unlimited speed kadri mtandao wako utakavyoweza kupakua
hta seeder wawe wengi vp huwez kupata speed inayoonekana hapo kweny tube mate,nilitaka ujue kua tubemate sio kigezo kikubwa sana..kwa hali ya kawaida hata IDM huwez pata hiyo speed.labda tujadili inakuaje tubemate ifike eti 16mbs at the same time unajikuta una 300kbs kwa downloader zingine
TECNO hiyo si unaona GPS iko active.
Huku niliko tigo mtaisoma namba !! Inaenda mpaka 30mbps.. at one point juzi mshikaji alikuwa anadownload midnight iligota 50mbps ... sijaamini!!!!!
Ingawa inaflactuate lakini ni balaa!!!
nafikiri still kuna basic concept ya bytes na bits hujaijua.
speed unayoiona hapo kwenye tubemate ni bits sawa na kwenye dashboard ya modem.
speed inayoonekana kwenye idm na kwenye torrent ni bytes.
bits 8 = byte 1
hivyo ukiona idm yako inaonesha 300KB/s basi kwenye tubemate ingeonesha 2.4 mbps
kwa jamaa hio 16mbps basi kwenye idm ungeona 2MBps tu
utajuaje hii ni bit na hii ni byte? angalia kama wametumia herufi kubwa au herufi ndogo.
KB=kilobyte
kb=kilobit
Airtel ni mwisho wa matatizo hii ni speed nayopata karibia kila siku.
Duuuuh!! Kweli hiyo noma, halafu naomba uniambie siri ya mtungi unadownloadia site gani?
Hii itakua Tigo 4G LTE emu nieleze zaidi kuna special Sim Card inaitajika kupata hii kitu ya 4G au?
Maana ninayo modem ya 4G Universal japo haisomi bands zote ila nki set LTE only napata No service
Na je uko maeneo yapi?
Naisaka kwa udi na uvumba hii kitu