Speed ya halotel ni hatari saana

Hiyo ni 4.3 MB per sec tu...sio ya kustua mkuu au umepagawa na Mbs hizo?
 
4.3 ? Hapo umecalculate vip wakati inafika mpaka mbps 6 nikidownload
Speed ina flactuate...hyo uloshare 35Mb ni 4.3MBs tu..kwaiyo 6 unayofika nayo haigandi...so sio wabaya ila ni speed tulizozizoea sie wapenda speed nzur
 
4.3 ? Hapo umecalculate vip wakati inafika mpaka mbps 6 nikidownload
Kuna tofauti kati ya MB (Megabytes) na Mb (Megabits)

Mathematically

1MB = 8Mb

So hapo 35.8Mbps ÷ 8 = 4.475

Hapo ana speed ya (approximately)

[emoji117] 5MBps

Simu nyingi zinatumia kipimo cha internet speed meter ya Mbps, We mwambie tu a connect kwenye PC afu atumie ku download kitu na IDM afu alete speed ya IDM kama itakua sawa na hiyo.
 
1Byte (B)= 8bits (b) and hence 1MB = 8Mb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…