Yani kwa muonekano wa kikwete,
asipojitambulisha unaweza kusema ni rais wa
Brazil hivi. Jamaa ana haiba, alafu haongei
pumba, he got sense of charm ana ongea kwa
historical reference. In short najisikia raha
kusema JK ni rais wangu.
Sipati picha ndio eti rais wa nchi ni dokt slaa, au
mrema wangelitia aibu taifa
Mandela kaondoka na miaka 95, kapambana, kalea familia & harakati kibao. Wewe umekaa Kinondoni hapo saa hizi na miaka yako 30 unalewa tu.
hotuba ilikuwa nzuri lakin tatizo alilokuwa nalo rais wetu na waliomuandalia hoto ni kutojali mda
makombora ambayo jk amerushiwa na chadema brigade humu jf leo hii ni ushahidi tosha kwamba jk hata hafanye jema lipi, kwa chadema wao jema hilo halina maana. I ushahidi tosha kwamba wanamchukia jk kwa sababu "siyo mwenzao" na wala si kwasababu ya utendaji wake kama rais. Yaliyosemwa na jk kama yangesemwa na kagame au mbowe au slaa, wangeyashangiria sana.
Hiyo historia inanisaidia nini? Sihitaji kujaza ubongo wangu kwa vitu nisivyoviapply maishani. Hiyo ya Madiba imekuja tu by the way na sikuhitaji hata kufahamu. Mimi mkuu nadeal facts zinazotokana na experiments and observations na zipo proven. Siyo mahistoria yenu ambayo ni just stories ambazo kila mtu ana uwezo wa kujitungia.Kiazi wewe, hamjui hata historia kazi kuleta utumbo wenu hapa JF. Unajuwa South Africa ilikuwa inaitwajwe kabla ya jina hili la sasa?
Hiyo historia inanisaidia nini? Sihitaji kujaza ubongo wangu kwa vitu nisivyoviapply maishani. Hiyo ya Madiba imekuja tu by the way na sikuhitaji hata kufahamu. Mimi mkuu nadeal facts zinazotokana na experiments and observations na zipo proven. Siyo mahistoria yenu ambayo ni just stories ambazo kila mtu ana uwezo wa kujitungia.
Hiyo historia inanisaidia nini? Sihitaji kujaza ubongo wangu kwa vitu nisivyoviapply maishani. Hiyo ya Madiba imekuja tu by the way na sikuhitaji hata kufahamu. Mimi mkuu nadeal facts zinazotokana na experiments and observations na zipo proven. Siyo mahistoria yenu ambayo ni just stories ambazo kila mtu ana uwezo wa kujitungia.
kwa upande wangu, this was the best speech, I have heard from president JK, Thanks president, ilikuwa speech nzuri sana,
Matola.
Hebu jitungie na wewe msiba wa kiongozi wako hapa Afrika ambaye historia na sehemu ya mafanikio ya ukombozi wa nchi yake imechangiwa na Tanzania. Acha hizo wewe.
hilo south africa mnalijua wenyewe wazungu wasouth wenyewe wanaiita Mzansi.
Bahati mbaya sikupata nafasi ya kumsikiliza, lakini Watangazaji wa TV iliyokuwa inaonyesha through live stream nimesikia wakiisifia hotuba ya JK.
Tiba
Bwana Rejao, inaonekana ama hujaenda shule kabisa au umesoma kidogo sana. Huwezi hata kidogo kubeza nafasi ya historia katika maisha ya mwanadamu. Historia inakupa dira ya kujua ulikotoka, ulipo na kukufanya ujijue kuwa basi kesho pia utakuwa wapi. Hata hizo unazoziita proven observation zako ni historia tu ambayo watu walishafanyia utafiti na hivo bado unakariri historia tu! Nakuomba sana usiingie kuchangia uzi kama hujui unachokisema!hili jukwaa ni jukwaa la watu wenye fikra pevu na siyo fikra mgando kama za kwako! Unaonekana unahitaji msaada wa kisaikolojia!!!! Uko down sana!!!!Hiyo historia inanisaidia nini? Sihitaji kujaza ubongo wangu kwa vitu nisivyoviapply maishani. Hiyo ya Madiba imekuja tu by the way na sikuhitaji hata kufahamu. Mimi mkuu nadeal facts zinazotokana na experiments and observations na zipo proven. Siyo mahistoria yenu ambayo ni just stories ambazo kila mtu ana uwezo wa kujitungia.
kwa wabongo hakuna lolote wataishia kusifia tu then hamna hata kuwaambia jinsi gani umasikini wetu wa kipato na fikra waliusababisha
JK amepewa heshima ya kuongea kwa sababu ndie raisi wa sasa wa tanzania. Tanzania imepewa heshima hiyo kutokana na yale iliyoyasimamia kwenye vita ya ukombozi barani africa. Hivyo JK angechemsha kama asingeongelea historia ya Mandela walipomuona wao ni "terorist" na role ya Nyerere na Tanzania kwa ujumla. Na haya aliyarudia KK. Kwa hili nampa 5 mheshimiwa raisi. Tukubaliane kutokukubaliana. Ameiwakilsha nchi vizuri.Alikuwa anatoa historia badala ya kutoa Speech, halafu wajinga wengine wanasema ametoa speech nzuri, :smile-big:
Huyo ndio Mzee wa Misiba
kwa upande wangu, this was the best speech, I have heard from president JK, Thanks president, ilikuwa speech nzuri sana,