Simu used mkuu, mfano Samsung galaxy grand prime za zamani sana unaweza ukaiotea sehemu bei nzuri chini ya laki.
Simu nyingi za 2014 zina 4G na bei zake zimeshuka sana.
Hakikisha tu band 3, 7 na 20 zipo ili upate 4G mitandao mikubwa na band 40 kama una matumaini na TTCL.