social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,106
- 1,259
Graphics memory : 958
Ram 1.8 gb
Processor 2gb
Ram 1.8 gb
Processor 2gb
yap kwa low setting unarun, mimi nina 4200m imekuzidi kidogo lakini gta v nacheza vizuri tu zaidi ya 30fpsNamimi hapa naweza run gta v? Au fifa 15 kupanda
Processor intel core i5 5200u cpu 2.20ghZ ram 4gb
Mkuu msaada,nilikuwa nataka kuja pm naona umefunga,kuna simu niliiuza ila inanipa shida yaani yule mtumiaji akiweka/kubadili line mimi napata message kama hii‘’My phone may be stolen,please keep sending this numbers" yaani inaleta usumbufu,nimewapigia tigo wanadai hakuna huduma kama hii,nifanyeje ili nisipate message kutoka katika hii simu,na sikuwahi kuiunga hii simu na huduma kama hiyo.yap kwa low setting unarun, mimi nina 4200m imekuzidi kidogo lakini gta v nacheza vizuri tu zaidi ya 30fps
mkuu umeiunga au kuna.mtu alikuungia, software ambayo sana hutumika kibongo bongo ni avast ant theft na app hujificha hauioni.Mkuu msaada,nilikuwa nataka kuja pm naona umefunga,kuna simu niliiuza ila inanipa shida yaani yule mtumiaji akiweka/kubadili line mimi napata message kama hii‘’My phone may be stolen,please keep sending this numbers" yaani inaleta usumbufu,nimewapigia tigo wanadai hakuna huduma kama hii,nifanyeje ili nisipate message kutoka katika hii simu,na sikuwahi kuiunga hii simu na huduma kama hiyo.
Dah,naweza kuwa niliweka,hivi nikiitafuta hiyo simu nikaweka ant theft nyingine,alafu nikaunga namba ya muhusika(mtumiaji wa sasa),itaacha kunitumia messagemkuu umeiunga au kuna.mtu alikuungia, software ambayo sana hutumika kibongo bongo ni avast ant theft na app hujificha hauioni.
kuipata inabidi upige simu kwa namba za siri, mfano kama ulieka namba ya siri 8888 unaipiga kama simu then itatokea hio app.
kama bado unaona huelewi iflash tu itasolve mambo yote
Mkuu kwema!! Naomba nitoke nje ya mada kidogo.....yap kwa low setting unarun, mimi nina 4200m imekuzidi kidogo lakini gta v nacheza vizuri tu zaidi ya 30fps
hdmi inaongeza quality pale tu hio source ikiwa inatoa resolution kubwa sababu ni sd sidhani kama kutakuwa na tofauti kati ya hdmi na waya wa kawaida.Mkuu kwema!! Naomba nitoke nje ya mada kidogo.....
Ivi ni kweli kuwa ukiangalia sd channels kwenye full hd tv picha inakuwa mbaya sana? Mana nimenunua tv picha ni mbaya mno natamani kulia. Na je huo waya wa hdmi unasaidia kuongeza ubora wa picha? Mana natumia hizi waya tatu za njano nyekundu na nyeupe .
Mkuu nimeshaweka hdmi lakini bado nikiweka hd channels picha inakuwa mbaya je tatizo linaweza kuwa ni tv yenywe?hdmi inaongeza quality pale tu hio source ikiwa inatoa resolution kubwa sababu ni sd sidhani kama kutakuwa na tofauti kati ya hdmi na waya wa kawaida.
na ndio tv hizi zenye resolution kubwa zinaonesha vibaya kama picha ina quality ndogo, na kama ni chanell zetu za bongo nyingi hata sd hazijafika mfano chanell ten.
tatizo ni kwamba hio quality siioni.Mkuu nimeshaweka hdmi lakini bado nikiweka hd channels picha inakuwa mbaya je tatizo linaweza kuwa ni tv yenywe?
Game zinategemea zaidi graphics card iliyopo kwenye PC yako kuliko processor.Namimi hapa naweza run gta v? Au fifa 15 kupanda
Processor intel core i5 5200u cpu 2.20ghZ ram 4gb
Namimi hapa naweza run gta v? Au fifa 15 kupanda
Processor intel core i5 5200u cpu 2.20ghZ ram 4gb