Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,759
- 1,555
Shukran kiongoziNakubali mkuu,mm najilia burudani na hisense smart tv hpa.View attachment 1411035
Sent using Samsung g960f
Hii inch ngapi mkuuNakubali mkuu,mm najilia burudani na hisense smart tv hpa.View attachment 1411035
Sent using Samsung g960f
sawa nimekuelewa mkuu,Dar tulikua na huo utaratibu ila tulisitisha baada ya watu wengi kutusumbua bila ya kua na nia kuitaji chochote, anakuambia anataka, Unamtumia, unagharamika usafir na kodi ya tra inafika unamuambia tayar mzigo ushafika nenda kalipie uchukua mzigo wako anakata sim na ukimpigia hapokei tena
So tukasitisha kutokana na huo uhuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo imekaa vizuri sana . Maana watu wengine waoga sana.Kama upo Mbeya, Mtwara, Singida au Morogoro kwa sasa unaweza kulipa Cash on delivery,
Hii ni kwa wale wote walio waoga wa kuibiwa na wanaosita kulipia mzigo kabla kufika.
Agiza chochote tukuletee utalipa mzigo ukifika
Muhimu kuwa serious, usitujaribu
Ahsanteni
0777650286/0718919725View attachment 1408019View attachment 1408020View attachment 1408021View attachment 1408022View attachment 1408023View attachment 1408024View attachment 1408025View attachment 1408027
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio tunawasogezea huduma karibu yko na kuondoa mazingira yote ya shaka, karibu sana uagize unachotaka mkuuHiyo imekaa vizuri sana . Maana watu wengine waoga sana.
Dar hamna ofisi?Ndio tunawasogezea huduma karibu yko na kuondoa mazingira yote ya shaka, karibu sana uagize unachotaka mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app