Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Kibondo Kigoma, ametusikia na tumemfikia huko huko
Star x smart 4k 750000(bila usafir) tu
Karibuni nyote
0777650286/0718019725
IMG_20200406_133600_016.jpeg
IMG_20200326_182946.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar tulikua na huo utaratibu ila tulisitisha baada ya watu wengi kutusumbua bila ya kua na nia kuitaji chochote, anakuambia anataka, Unamtumia, unagharamika usafir na kodi ya tra inafika unamuambia tayar mzigo ushafika nenda kalipie uchukua mzigo wako anakata sim na ukimpigia hapokei tena
So tukasitisha kutokana na huo uhuni

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa nimekuelewa mkuu,
 
Kama upo Mbeya, Mtwara, Singida au Morogoro kwa sasa unaweza kulipa Cash on delivery,
Hii ni kwa wale wote walio waoga wa kuibiwa na wanaosita kulipia mzigo kabla kufika.
Agiza chochote tukuletee utalipa mzigo ukifika
Muhimu kuwa serious, usitujaribu
Ahsanteni
0777650286/0718919725View attachment 1408019View attachment 1408020View attachment 1408021View attachment 1408022View attachment 1408023View attachment 1408024View attachment 1408025View attachment 1408027

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo imekaa vizuri sana . Maana watu wengine waoga sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom