Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Jamaa hapo juu anauza mpya kwa Hii bei Mkuu Ushauri punguza Bei Boss,Samahani kama Nimekukwaza.

Mwisho kabisa ni 600k.Bei za electronics Hapa Bongo zipo juu tofauti na Zanzibar bei zipo chini,kwa bei hii kupata TCL SMART hapa Bongo ni ngumu sana Mkuu,naiuza kwa sababu tu ila nisingeiuza.
 
Lg led 43"
Used ya UK
Ipo good condition(mpya kasoro box tu)
Bei ni 550000
0777650286, 0718919725
 
Hili tatizo linatengenezeka,kukiwa na giza washa tv halafu mulika na toch kwenye screen wakati tv iko ON utaona picha japo kwa mbali,taa za kumulika ili led ziwake zimeungua,taa zipo madukani nyingi tu,tafuta fundi uitengeneze halafu uiuze,kumbuka kutumia TV Guard
 
TCL SMART TV NCH 40 USED FULLHD RESOLUTION INA ACCESS YA INTERNET YAANI NI SMART TV SO IKO NA ETHERNET/WI-FI WIRELESS SO UNAWEZA CONNECT NA SIMU YAKO OR ROUTER NAKUACCES INTERNET KUPERUZI NA KUANGALIA ONLINE TV NA CHANELS VITU KAMA YOUTUBE SOCIAL NETWORK NK PIA INAKUJA NA INBUILT DECODER PIA AMBAPO UTAPATA LOCAL CHANELS BILA KULIPIA

BEI 600k
IPO Mbezi ya kimara
 
Samsung led 40"
Second hand kutoka kwa malkia
Iko good condition, (ni mpya kasoro box tu)
Bei 550000
0777650286, 0718919725
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…