ukiona kakuacha bila sababu ya maana, na kakutafutia sababu, wala usiumiee siku ipo huko alikokimbilia kuna siku ataachwa na atarudi kwako alishachelewa.
hakua ubavu wako, siku ukipata ubavu wako hatoweza kukuumiza amini maneno yangu. mungu ni wa ajabu hachelewi kujibu. kuna siku utatuletea hapa mrejesho.