Special Thread: Walioachwa tuliwazane hapa

Pole
 
Niliwahi kuachwa without reason naambiwa kachoka kachukia wanaume kufatilia behind the scene kumbe kapata Mme wa mtu ndio ana date nae kwa kushawishiwa na Rafiki yake nilijifunza kusahau maisha yanasonga
 
Mpaka Sasa kuna wanao
Achwa kweli
 
I was thinking about kuanzisha tread kama hii.. Mapenzi bhana nimeyavulia kofia [emoji30][emoji30]
Life goes on
 
Dah hatari sana
ukiona kakuacha bila sababu ya maana, na kakutafutia sababu, wala usiumiee siku ipo huko alikokimbilia kuna siku ataachwa na atarudi kwako alishachelewa.

hakua ubavu wako, siku ukipata ubavu wako hatoweza kukuumiza amini maneno yangu. mungu ni wa ajabu hachelewi kujibu. kuna siku utatuletea hapa mrejesho.
 
Siku nyingine usikae bila spea mzee baba, akikuaga kwaheri wamjibu karibu tena unabeba spea yako......
Sasa kama huyo ndo alikua tegemeo atakuliza, masikini utalia kilio cha mbwa koko 😀
Pole ukijisikia upweke sana nicheki nikupe kampan ya kunywa hizo castle
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…