Special Thread: Walioachwa tuliwazane hapa

Dah ni hatari
 
Hahaha, akiba haiozi mkuu yani angeachwa hapo wala asingekuwa NA MAWAZO kwa sababu anajua anapakukimbilia.
Kuna kuachwa kwingine unapigwa hadi bumbuwazi!akilo inaganda hadi unasahau kama ulikua na "Akiba"
Pole yake aliyeachwa atulize kichwa,atapata mwingine!mapenzi kama siti ya daladala akishuka mtu anapanda mtu[emoji4]
 
pole chukulia kawaida ni kama unavyopoteza hela zinauma lkn unatafuta tena kikubwa ni uhai utampata wa kukonga moyo wako utasahau ya zamani.
 
Kuna kuachwa kwingine unapigwa hadi bumbuwazi!akilo inaganda hadi unasahau kama ulikua na "Akiba"
Pole yake aliyeachwa atulize kichwa,atapata mwingine!mapenzi kama siti ya daladala akishuka mtu anapanda mtu[emoji4]

Hakika, atapata maumivu ya muda mfupi tu na atapata mbadala wake na Maisha yataendelea kama kawaida
 
Kuna kuachwa kwingine unapigwa hadi bumbuwazi!akilo inaganda hadi unasahau kama ulikua na "Akiba"
Pole yake aliyeachwa atulize kichwa,atapata mwingine!mapenzi kama siti ya daladala akishuka mtu anapanda mtu[emoji4]
Kabisa kama kuachwa kwangu nimepigwa na butwaa
 
Nilipoachwa niliumia sana, nilihitaji walau nipate furaha kwa siku moja. Aliye niacha alifahau kabisa udhaifu wangu na alininyanyasa sana. Nilikua mpweke, dhaifu na mwenye mawazo. Hakuna aliyejua, kwaiyo niliteseka sana. Hakuna aliyenifariji, nilibaki naugulia tu.
Maumivu yalidumu kwa muda mrefu, hatimaye yaliisha.

Maisha yalibadilika, na hatimaye nikamsahau.

...Time heals...
 
Sijawahi kuachwa
natamani siku moja niachwe ili nijue ladha yake[emoji3][emoji3]
 
haah ukiachwa achika
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…