Kunywa konyagi mkuu ndio nzuri kwenye hichi kipindi cha kuachwaKama upo kwenye majonzi ya kuachwa tukutane hapa, na utwambie ulipoachwa bila sababu kitu cha kwanza ulifanya nini, na ulizoea hali hiyo baada ya muda gani?
Kwa kifupi mi nimeachwa jana, bila sababu ya msingi, kimoyo moyo nikajua kuna njemba litakuwa limembeba,
Ila tuwe wakweli kuachwa ni hatari sana,
Nipo nimebembeleza sana kakataa,
Nikaamua nikaushe nipo naandika uzi huu nikiwa bar nakunywa castle,
Je we umeachwa pia?
Anasema amechoka tuPole sana njemba!
Sababu ya msingi IPO kwake mkuu tena inaweza kuwa ya secondary au chuo kabisa,wewe ndo hujui sababu lakini IPO !
Cha msingi ungetafuta kujua 7bu ni nn ili ukija ingia relationship nyingine usikosee kosa lile lile.
But kwa sasa na wewe mkatae ili mkataane na yeye itamuuma maana hakuna anaependa kuachwa.
Huenda nyuma ya kuchoka kuna kilichomchosha!Anasema amechoka tu
Mkuu kama hujaachwa na Mungu endelea na maisha yako,wala huna haja ya kuja JF na kuanziza thread.Mpokee Yesu leo yeye hatakuacha.Kama upo kwenye majonzi ya kuachwa tukutane hapa, na utwambie ulipoachwa bila sababu kitu cha kwanza ulifanya nini, na ulizoea hali hiyo baada ya muda gani?
Kwa kifupi mi nimeachwa jana, bila sababu ya msingi, kimoyo moyo nikajua kuna njemba litakuwa limembeba,
Ila tuwe wakweli kuachwa ni hatari sana,
Nipo nimebembeleza sana kakataa,
Nikaamua nikaushe nipo naandika uzi huu nikiwa bar nakunywa castle,
Je we umeachwa pia?
Hahaha, akiba haiozi mkuu yani angeachwa hapo wala asingekuwa NA MAWAZO kwa sababu anajua anapakukimbilia.ungekuwa na wa akiba leo ungemwita uupoze moyo
only fool anaweza kukubaliana na sababu kama hiyo-lazima kuna sabaubuAnasema amechoka tu