SPECIAl THREAD : USISOME KAMA UNAIPENDA CCM....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SPECIAl THREAD : USISOME KAMA UNAIPENDA CCM.......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by only83, Mar 27, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kuanzia sasa sitasoma post yoyote inayohusiana na UVCCM au CCM...Wanatuchezea akili hawa...Makamba na Sumaye lao moja hii ni njia ya kutuvuruga.Ona sasa tumesahau ya msingi..........
   
 2. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mimi sema tv ndio zinatuvuruga mara tabora mara jamaa wa kilimanjaro katoa siku saba uvccm iondoke jaman ila kuna anguko kubwa zaidi, maana sita nae kabana mbavu mpaka mwisho
   
 3. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Waache wafe!
   
 4. d

  dizzle1 Member

  #4
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  kaa chini na uandike mambo ya msingi huu sio mtandao wa watu wakurupukaji kama wewe...kuwa makini na pumba unazo post,unataka kutuaminisha nini sasa mbona hueleweki.kila mtu ana uhuru kwa kutoa maoni juu ya mstakabari wa taifa ili na sio kuchagua habari nani kaongea komaa kisiasa dogo.

  dizle
  from udom
   
Loading...