usipte mbali bana come close 2peana maujanja
We hupendi kupetiwa?
Njoo nikupe mambinu uwe wa kisasa
no no mydia mimi ni super na penzi langu halichuji. come here sweetie and lets enjoy everything in this life.
Uliyakosea yapi?
Ndio maana hapa ni chuo ngoja mke wangu charty akija umweleze ulipojikwaa atakusaudia ni fundi kweli kweli
Mi mahaba yaliishanipitaga siku nyingiiiiiiii yenyewe yapo kigoma mimi nipo nyasa.
Mahaba ndio nini
mimi ni kijana wa miaka 30 natafuta mchumba humu ndani awe mkristo.na tabia njema pia awe na umri usiozidi miaka 24.mimi ni lecture wa chuo kimoja hapa tz.pia ni muhaya naejua mapenzi hususani cta kwa cta c mnajua mambo ya katerero ni hayo tu.mwenye cfa anipm.asanteni
atoto mimi sio nyoka bali jani salama tu. usinifananishe na hao nyoka waliokuuma. mimi ni mtu mpya kwako kukupa maisha mapya.Khaaaah hizo swaga ndizo zilezileee za yule mwizi wangu, nishaumwa na nyoka naogopa hata jani mie. Alafu wewe kila mahali una mke!!!
Mkuu fanya fujo zote lakini usizame deeply na mke wa mtu!
Njoo Pm nikuonyeshe maana yake lols
Eli79 unaona bahati hizi, hii ni embe chini ya mnazi.