mashonga
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 611
- 994
Habari za muda huu Wanajamiiforums,
lengo la uzi huu ni kupeana taarifa zinazohusiana na mgawo wa maji kama ulivyo tangazwa na DAWASA, pia kupeana habari kama mgawo unafuata ratiba kama wanavyo tangaza, kushtuana maji yakianza kutoka na mengineyo yote yanayo husiana na huu mgawo.
Kwa kuanzia nimeweka ratiba ya mgawo wa maji kama walivyo weka wenyewe kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii.