Special Thread: Trending Now in Kenya

Special Thread: Trending Now in Kenya

rob1.png
 
Watanzania kawaida sio watu wa makelele sana, wala sio watu wanaopenda sifa, ingelikua majirani zetu wa Uganda, hizo kelele zingefufua hata waliozikwa kaburini
hahaha... majirani zetu wa uganda?.

hapana kaka, waganda hawana mambo hayo.... bila shaka ulimainisha wakenya.
 
hahaha... majirani zetu wa uganda?.

hapana kaka, waganda hawana mambo hayo.... bila shaka ulimainisha wakenya.
Hapana, mimi Kenya ninawaheshimu sana, siwezi kuwasema vibaya, kuna bint ninataka kwenda kutoa mahari. Mimi nijuavyo wakenya ni watu humble sana, hawana makelele wala hawapendi kujisifia.
 
Back
Top Bottom