Special thread: Telecom technician/engineer tukutane hapa tujadili changamoto za kazi

puttin

JF-Expert Member
May 17, 2015
226
366
Habarini wana Jf hopefull mko vyema na majukumu yenu lets meet here tujadiliane changamoto za kazi yetu na tupatiane michongo pia hasa huu ujio wa hawa wachina(Huawei) kwenye hii industry
 
Hii kozi nilichagua mwaka jana ila wadau waliomaliza toka 2011 wakasema dogo achana na hio kozi kabisa ajira zake za kubahatisha sa sielewi kwa upande wako unaonaje ila mm nilibadili kozi.
 
Hii kozi nilichagua mwaka jana ila wadau waliomaliza toka 2011 wakasema dogo achana na hio kozi kabisa ajira zake za kubahatisha sa sielewi kwa upande wako unaonaje ila mm nilibadili kozi.
Soko la Tele wamekamata Kina Kanjibai Wahindi tena siunajua kwa mishe zao za ovyo , Tele ilikuwa Hot cake sana previous ila sasa Soko lake kiukweli linayumba
 
SPC!!!! Stored program control! Hakuna ubunifu wala kujua kila kitu umetafuniwa.wewe tech/eng huna cha ziada cha kufanya zaidi ya kufuata taratibu zilizohifadhiwa!
 
SPC!!!! Stored program control! Hakuna ubunifu wala kujua kila kitu umetafuniwa.wewe tech/eng huna cha ziada cha kufanya zaidi ya kufuata taratibu zilizohifadhiwa!
Mkuu vitengo vya R&D vyote vipo China ma baadhi ya nchi zilizoendelea (Huawei) na Israel (Ceragon) ,Alcatel (France) aviat and nokia i don't know ila ubunifu wetu ni routing za E1 na fiber network design ila sisi tunajikuna tulipofikia hayo mambo ya R&D tutafika tu pole pole kwani zamani si makampuni ya simu yalikuwa yanawaleta Makaburu na wazungu kufanya Installations lakini leo mpaka Bsc na Rnc tunafunga wenyewe its matter of time tu mkuu tujitahidi tu kuelewa device zao wanazotuletea sio kukremu
 
Installation procedures! Troubleshooting procedures! Vyote wametafuna! Hata network design hakuna parameters tofauti toka vichwani mwetu! Namkumbuka mwalimu wangu! Emmiter followers!
 
Back
Top Bottom