only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,342
- 2,528
...Wale waliowai kufatili movie kama ya Sarafina ambayo ilikuwa inaelezea vijana wa south africa walivyokuwa wanapigana dhidi ya makaburu nadhani mnakumbuka kauli mbiu yao....na wana historia mnakumbuka maneno ya mpiganaji wa uhuru wa south africa Solomon Mahlangu alisema maneno yenye ujumbe ufuatao,wakati anakaribia kunyongwa..."WAAMBIE WATU WANGU,DAMU YANGU ITAKUWA CHACHU YA UKOMBOZI WAO,ALUNTA KONTINYUA" Nimeyachukua maneno haya baada ya kuona kilichotokea Arusha,na leo Dodoma...
Mimi nasema..WATATUPIGA,WATATUUA,WATATUCHINJA,BUT BADO TUNAKUJA....
Mimi nasema..WATATUPIGA,WATATUUA,WATATUCHINJA,BUT BADO TUNAKUJA....