Special thread read plz : Tupigeni,tuueni,tuchinjeni,bado tanakuja........

Special thread read plz : Tupigeni,tuueni,tuchinjeni,bado tanakuja........

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,342
Reaction score
2,528
...Wale waliowai kufatili movie kama ya Sarafina ambayo ilikuwa inaelezea vijana wa south africa walivyokuwa wanapigana dhidi ya makaburu nadhani mnakumbuka kauli mbiu yao....na wana historia mnakumbuka maneno ya mpiganaji wa uhuru wa south africa Solomon Mahlangu alisema maneno yenye ujumbe ufuatao,wakati anakaribia kunyongwa..."WAAMBIE WATU WANGU,DAMU YANGU ITAKUWA CHACHU YA UKOMBOZI WAO,ALUNTA KONTINYUA" Nimeyachukua maneno haya baada ya kuona kilichotokea Arusha,na leo Dodoma...
Mimi nasema..WATATUPIGA,WATATUUA,WATATUCHINJA,BUT BADO TUNAKUJA....
 
...Wale waliowai kufatili movie kama ya Sarafina ambayo ilikuwa inaelezea vijana wa south africa walivyokuwa wanapigana dhidi ya makaburu nadhani mnakumbuka kauli mbiu yao....na wana historia mnakumbuka maneno ya mpiganaji wa uhuru wa south africa Solomon Mahlangu alisema maneno yenye ujumbe ufuatao,wakati anakaribi kunyongwa..."WAAMBIE WATU WANGU,DAMU YANGU ITAKUWA CHACHU YA UKOMBOZI WAO,ALUNTA KONTINYUA" Nimeyachukua maneno haya baada ya kuona kilichotokea Arusha,na leo Dodoma...
Mimi nasema..WATATUPIGA,WATATUUA,WATATUCHINJA,BUT BADO TUNAKUJA....

naunga mkono hoja,,,, one among the great thinkers is u
 
...Wale waliowai kufatili movie kama ya Sarafina ambayo ilikuwa inaelezea vijana wa south africa walivyokuwa wanapigana dhidi ya makaburu nadhani mnakumbuka kauli mbiu yao....na wana historia mnakumbuka maneno ya mpiganaji wa uhuru wa south africa Solomon Mahlangu alisema maneno yenye ujumbe ufuatao,wakati anakaribia kunyongwa..."WAAMBIE WATU WANGU,DAMU YANGU ITAKUWA CHACHU YA UKOMBOZI WAO,ALUNTA KONTINYUA" Nimeyachukua maneno haya baada ya kuona kilichotokea Arusha,na leo Dodoma...
Mimi nasema..WATATUPIGA,WATATUUA,WATATUCHINJA,BUT BADO TUNAKUJA....

Mi natamani hii katiba tuipinge kwa kuandamana,kuongea tu hakutoshi maana JK hana masikio
 
Damu yetu yenye kutka usawa, haki na maendeleo kwa kila mtanzania ndiyo ukombozi wetu na vizazi vyetu:A S-key:
 
they ignore us, they beat us, they laugh us, they fight us, then at the end of day we will win the battle.
 
freedom is coming tomorrow.....hebu malizieni huo wimbo wa sarafina jamani
 
Mabadiliko yatatokea muda kidogo ujao maana watu wameshaanza kuchoka ubabaishaji!
 
...Wale waliowai kufatili movie kama ya Sarafina ambayo ilikuwa inaelezea vijana wa south africa walivyokuwa wanapigana dhidi ya makaburu nadhani mnakumbuka kauli mbiu yao....na wana historia mnakumbuka maneno ya mpiganaji wa uhuru wa south africa Solomon Mahlangu alisema maneno yenye ujumbe ufuatao,wakati anakaribia kunyongwa..."WAAMBIE WATU WANGU,DAMU YANGU ITAKUWA CHACHU YA UKOMBOZI WAO,ALUNTA KONTINYUA" Nimeyachukua maneno haya baada ya kuona kilichotokea Arusha,na leo Dodoma...
Mimi nasema..WATATUPIGA,WATATUUA,WATATUCHINJA,BUT BADO TUNAKUJA....

Haya ni maneno ya kuchochea fujo. Tujaribu kumaliza matatizo yetu kwa njia ya mazungumzo. Kama tulipata uhuru kwa maneno, kwanini leo tushindwe kuleta mabadiliko tuyatakayo kwa maneno?. Jamani msiombe vita vya wenyewe kwa wenyewe, nilikuwa Rwanda kipindi wanapigana na kuuwana kama kuku. Hakika si kitu kizuri kabisa kutokea.
 
Nani anayeleta fujo? Tunazungumzia uhalisia hapa,Dodoma leo nani kaleta fujo kama sio Polisi na viongozi wetu....Hii serikali mazungumzo ilikwisha shindwa muda mrefu....madai ya wafanyakazi,wananchi wa kawaida yote yametimizwa baada ya kutumia misukumo mikubwa...si maanishi kuwa tupigane vita najua madhara ya vita kwa kiasi kikubwa..maana yangu ni kuwa..HATA KAMA WAKITUPIGA MABOMU SISI TUTADAI HAKI YETU MPAKA KIELEWEKE....
 
Ni vizuri Chama tawala kikawapa watawaliwa wanchokitaka. Vinginevyo yanaweza kutokea yasiyotarajiwa kwa Taifa letu lenye kuongoza kwa kuwa na Lulu kibao za kiuchumi, Kupongoza kwa umaskini na kuongoza kwa Amani.
 
mkuu tatizo watawala wetu waliolewa madaraka wanatumia amani tuliyonayo kama mwavuli ili watanganyika wasidai haki zao za msingi hata ikibidi kwa kutumia nguvu ya uma endapo haki hiyo haitatolewa kwa muda muafaka, tusiogopeshwe na vita vya rwanda au ivory coast kwani yote ni matokeo ya dhuluma kwa umma wa wengi
 
Sielewi Dikteta huyu anatupeleka wapi watanzania ...nafikiria hii miaka5 mpaka iishe ya utawala wake Tanzania itakuwaje ..najiuliza tena, where shall Tanzanians be "THIS TIME TOMORROW"
 
Mnajua wamesahau kuwa sote ni raia wa nchi hii kwamoyo swafi na suala lakuwa kiongozi ni dhamana tu, kila raia anaweza kupewa nafasi hiyo. Hivyo isiwe sababu saaaana. Katiba hii ni yetu hata kama mswaada utachukua miezi mingapi mwisho tunahitaji kitu kilichoshiba. No interest ya chama but the public.
 
KIDATU...nenda leo rwanda uone uwajibikaji wa kweli,waziri toka chama tawala anatumikia kifungo kwa ufisadi.kule hakuna kina RA wala EL,wangeishachezea kichapo ck nyingi.KAGAME anapeleka wanae shule aki-drive mwenyewe na ndio anaenda ofcn on time.wala humsikii ulaya kila mwezi,na nchi inakata upepo kimaendeleo kuanzia RUSUMO HADI BUTARE,GITARAMA,GISENYI,KIBUYE,KIBUNGO na THE SHINING KIGALI YOOTE.
 
Yaani hadi sasa mwenye thread hujaongea point ya maana,hata hivo sishangai mtoto wa 83 atakua na point gani.WEWE ENDELEA KUOTA
 
Yaani hadi sasa mwenye thread hujaongea point ya maana,hata hivo sishangai mtoto wa 83 atakua na point gani.WEWE ENDELEA KUOTA

Thanx mkuu nimekupata....JF ni sehemu ya kucheka na kujifunza...nimecheka kutokana na hiyo post yako....? Thanx in deed mkuu!!!
 
lakini nia na madhumuni yetu hasa ni yapi? je njia pekee tuliyonayo ili tujikomboe ni kupigana,kuuana na kuchinjana kweli.............? kwa kusema hivi bado najiuliza hapa ndio mwisho wa fikraa zetu kama wana jamii ama hatutaki kudiriki kufikiri zaidi ya hapo?,zaidi ya kuuana na kuchinjana?
 
Back
Top Bottom