Special Thread, Mrejesho na Tamthmini za awali, Elimu bure

Sandeni

JF-Expert Member
Apr 25, 2013
666
298
Wakuu, kesho Jumatatu, Tarehe 11/1/2016.
Shule nyingi za umma, msingi na sekondari zinafunguliwa.

Hebu tujuzane hali halisi ya shule hizo, na jinsi elimu bure itakavyorahisisha mambo.

Kutoka sehemu mbalimbali za nchi twende pamoja.
 
Nyota njema

Nyota nyeusi

Haiwezekani watu wanakufa njaa mjigambe mnatoa elimu bure.

Huku mnawapa elimu bure huku wanataka chakula.

Fake politics, kwa asiejua siasa na ahadi ni baba na Mama lkn utekelezaji haupo ataamini, mambo mengi yatavurugika. Tukae tusubiri. Watakorofishana na wadau watendaji wa elimu.

Hata siku moja haiwezekani kukaza kwamba utatoa 1,2,3 free na hujui preference...

Haiwezekani usijue wapi bure inatakiwa.

Wazazi washamba, hasa maskini huamini zile mia mia waliokuwa wanaagizwa ni bora, wanadhan serikali ina jipya

hakuna rahisi bora, na mtu halazimishwi kufanya kaz vizur mazingira yanafanyakaz yake. Sio Sera inayoletwa.
ni watu

Watumishi wengi ha waaandaliwi vzr, usitegemee kazi nzur kwa walimu wasiojiamini, waoga, mishahara duni, nyumba wanaahidiwa mpaka anastaafu hajaiona. Utadhan akipewa ni yake anastaafu nayo. Mabenki yanawaibia watumishi riba kuuubwa
uhuni tu umejaa.

Watu wanafanyakaz hawana motisha yyt
 
Last edited:
Elimu haiwezi kuwa bora kama mwalim hatothaminiwa na kupewa kipaumbele km vile motisha ya kazi na mazingira rafiki..Serikali ya sema elimu bure lengo kila mmoja apate bora elim na sio elimu bora coz mtoa elimu ana dhiki na stress za maisha na mazingira magumu.. naishauri serikali elimu bure isiwe kama siasa jipangeni mtoe elimu bora na sio lazma iwe elim bure... elim bora au elim bure kipi cha msingi kwa tz ya leo?!...wajalini waalimu wasikilizen yanataka nini ili jahaz lipate kwenda....Nanyie walim msiwe midebwedo mjiamini na taaluma zenu msiwe waoga kama makunguru
 
Back
Top Bottom