BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,238
Jamaa ana kipaji Na maarifa,speed&accuracy ya kipekee ktk football,Huyu kiumbe anachezesha timu sio utani,anafanya kazi zaidi ya inavyobidi iwe kwa maana MTU mmoja in kama watu 4!
Sijui labda Hugo Pele maana hatukuwahi kumshuhudia kwa miaka hiyo lkn kwa wengi waliofuata hadi sasa,Hakuna kama Messi!
Kwa Mashahidi waliotazama 2nd Leg ya kombe la mfalme Spain usiku wa alhamis hii Barca dhidi ya Espanyol (2-0)Na hata mechi ya barca ya ligi wiki iliopita watakubaliana nami.
Namkubali sana messi
Leta statistics zinazoonyesha gaucho kampita Messi acha kuleta clip hata nyoso anazo leta statistics ili unionyeshekuwa sijui mpiraNimekwambia huujui mpira ndiyo sababu unaandika pumba tupu.
Leta statistics zinazoonyesha gaucho kampita Messi acha kuleta clip hata nyoso anazo leta statistics ili unionyeshekuwa sijui mpira
Mkono mtupu haurambi leta statistics
gaucho kamzidi messi kukenua tu meno lakini vyenga vyake ni useless ndyo maana mkiambiwa muonyeshe goals and assist comparison kati ya neymar na gaucho mnakuwa wakali kwa taarifa yako ni kuwa neymar kampita gaucho goal kuanzia barca,PSG,na BrazillNimekuwekea hapo juu au wewe ni ngumbaru!?
😱😱😱
Acha kujitoa ufahamu wewe popoma gaucho kamzidi messi kukenua tu meno lakini vyenga vyake ni useless ndyo maana mkiambiwa muonyeshe goals and assist comparison kati ya neymar na gaucho mnakuwa wakali kwa taarifa yako ni kuwa neymar kampita gaucho goal kuanzia barca,PSG,na Brazill
Numbers always don't liesHuujui mpira wewe!!! Kufunga magoli si kigezo pekee cha kuujua mpira. Wacheza wakubwa mbali mbali duniani waliobahatika kucheza au kumuona The Amazing Ronaldinho watakwambia messi ni cha mtoto. Hana uwezo wa Ronaldinho wala hawezi kuwa nao.
Why Ronaldinho was a greater player than Lionel Messi and Cristiano Ronaldo
Numbers always don't lies
Huwezi kunishawishi nimuone gaucho bora kwa izo article za wehu wenzio na kwa maneno ya waliocheza nae je kama wanamuonea aibu kumuchana?
Leta statistics kama issue sio kufunga kumbe issue ni kukenua na kukatika?
Leta number usilete maneno, kama gaucho alikuwa noma leta statistics zakeNumbers is not everything in football hata Sembuli wanadai alikuwa anafunga magoli. Nimekuwekea maneno ya wacheza wawili ambao wote wamecheza na wote wawili na wote chaguo lao ni Ronaldinho. Utakuwa muha wewe maana wale ndiyo wana ubishi wa kupindukia pamoja na kuwa hawana ushahidi wa kuthibitisha wasemacho.
Leta number usilete maneno kama mwanamke wa kizaramo kama gaucho alikuwa noma leta statistics zake
Maneno matupu ni uingo ni sawa kuforce Makalio utafune muwa thibitisha kwa number
Ayo maelezo bila goals na assist ni taarabu tupuRonaldinho was better than Messi
(Others) 24 Jan 2012
Belletti believes the Barcelona team he formed part of between 2004 and ’07 was superior to Pep Guardiola’s current model, and that Ronaldinho in his pomp was better than Lionel Messi is today.
“I rate the team I played in much higher, principally because of the opponents we faced,” the 35-year-old, who scored the winner against Arsenal in the 2005/06 UEFA Champions League final, told SporTV. “We played against Real Madrid of [Zinedine] Zidane, Ronaldo and [Luis] Figo, Milan of Kaka, and a Liverpool team who were going through a great phase.”
Belletti, who left Camp Nou for Chelsea in 2007 and hung up his boots last year, also identified the key difference between the two Barcelona sides.
“We played with an established system, different to today’s team,” said the former right-back. “Now you never know how they’ll play. Sometimes it looks like they are using a three-seven [formation], with three defenders and seven players roaming about.”
Ronaldinho had opponents who magnified his peak even more – he was up against Zidane, Figo. Messi has much more help at Barcelona.
Belletti
When the debate switched to whether the Barcelona No10 he played alongside or the jersey’s current occupier was better, Belletti cited the class of opponents Ronaldinho was up against and Guardiola's current team being built around its Argentinian forward as the reasons for siding with his compatriot.
Ronaldinho joined the Catalan giants in a big-money transfer from Paris Saint-Germain in 2003, and inspired the club to two La Liga titles and Champions League glory. The mercurial Brazilian was named FIFA World Player of the Year in 2004 and ’05, before leaving for AC Milan in 2008.
Messi made his competitive Barça debut in 2004, and has since become a champion of Spain five times, Europe thrice and the world twice. The 24-year-old is fresh from seizing his third successive FIFA Ballon D’Or.
“Ronaldinho had opponents who magnified his peak even more – he was up against Zidane, Figo. He also earned me many titles.
“Messi has much more help at Barcelona. If I had to chose between Ronaldinho at that time or Messi now, I’d chose Gaúcho.”
Nahisi hujui dribbling ni nin...Unachekesha tena naona kama unamihemko kama mtu aliekurupushwa Guest,na nafikiri ndio mara yako ya kwanza kuona Dribbling kwenye Soka kwanza huyo Messi wako hamfikii Denilson kwa Dribbling,kwa taarifa yako hakuna kama St. Gaucho kwenye Dribbling,narudia tena hakuna kama St. Gaucho,never and ever,sio Zidane,C.Ronaldo,Redondo et al.
Kma ipi?kwanini GAUCHO anitwa MAGIC PLAYER nafikiri ukigoogle utapata majibu na ukitaka kuujua ubovu wa messi mpeleke timu nyingine ndo utajua
Duh!the way unaongea ni kama una conflict moyoni mwako!Yaani ni ule ushabiki wa Diamond na Kiba!Gari without ENGINE haliendi. So Na KING MESSI bila yeye Barcelona sio chochote. Magoli ni yeye, kutengeneza na ku assist ni yeye, freekick ni yeye...kila kitu ni yeye tu. Kweli mwenye mpira wake.
Siku anastaafu soka i don't think kama nitaishabikia BARCELONA. Katika dunia hii bado sijaona kama yeye, before nilikuwa namkubali el pibe de oro/Golden Boy' Diego Armando Maradona....kwa sasa Messi hana mpinzani. Anaemchukia amchukie atakuwa analake jambo sio bure.
Kivipi gaucho awe mbabe wa messi....messi mbabe wake ktk ulimwengu wa soka ni GAUCHO TU wengine waliobako sijui ronaldo wote makapi
Mkuu huoni aibu kumtetea mtu kuwa ni bora kwa opinions za watu?Ronaldinho was better than Messi
(Others) 24 Jan 2012
Belletti believes the Barcelona team he formed part of between 2004 and ’07 was superior to Pep Guardiola’s current model, and that Ronaldinho in his pomp was better than Lionel Messi is today.
“I rate the team I played in much higher, principally because of the opponents we faced,” the 35-year-old, who scored the winner against Arsenal in the 2005/06 UEFA Champions League final, told SporTV. “We played against Real Madrid of [Zinedine] Zidane, Ronaldo and [Luis] Figo, Milan of Kaka, and a Liverpool team who were going through a great phase.”
Belletti, who left Camp Nou for Chelsea in 2007 and hung up his boots last year, also identified the key difference between the two Barcelona sides.
“We played with an established system, different to today’s team,” said the former right-back. “Now you never know how they’ll play. Sometimes it looks like they are using a three-seven [formation], with three defenders and seven players roaming about.”
Ronaldinho had opponents who magnified his peak even more – he was up against Zidane, Figo. Messi has much more help at Barcelona.
Belletti
When the debate switched to whether the Barcelona No10 he played alongside or the jersey’s current occupier was better, Belletti cited the class of opponents Ronaldinho was up against and Guardiola's current team being built around its Argentinian forward as the reasons for siding with his compatriot.
Ronaldinho joined the Catalan giants in a big-money transfer from Paris Saint-Germain in 2003, and inspired the club to two La Liga titles and Champions League glory. The mercurial Brazilian was named FIFA World Player of the Year in 2004 and ’05, before leaving for AC Milan in 2008.
Messi made his competitive Barça debut in 2004, and has since become a champion of Spain five times, Europe thrice and the world twice. The 24-year-old is fresh from seizing his third successive FIFA Ballon D’Or.
“Ronaldinho had opponents who magnified his peak even more – he was up against Zidane, Figo. He also earned me many titles.
“Messi has much more help at Barcelona. If I had to chose between Ronaldinho at that time or Messi now, I’d chose Gaúcho.”
Mkuu huoni aibu kumtetea mtu kuwa ni bora kwa opinions za watu?
Eti ni bora sababu deco na sjui nani wamesema my ass wao hao ni kina nani hadi wanachokisema kuwe accepted na majority?
Leta fact mkuu usilete opinions za wala ganja wenzako