BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,238
Haa kupewa jina ndo fact ya mchezaji kuwa bora? Torres aliitwa el.nino so means ni bora kuliko gaucho just because hakupewa jina?? Dihno hakuwa tu mchezaji wa mpira bali pia alifanya mpira uwe burudani
Jamaa alikuwa na mambo mengi ila hana madhara uwanjaniKING GAUCHO ni habari nyingine kabisa KAMWE hawezi kufananishwa na Messi. Yuko anga ya pekee kabisa.
Jamaa alikuwa na mambo mengi ila hana madhara uwanjani
Ni kama kuwa na gari lenye kelele nyingi ila halikimbii
Ndo maana adi CR7 yuko juu yake kimpira
Hii Dawa Tatu weka mbali na watotoLionel messi
Tumia lugha ya staha! Wamiliki wa vilabu alivyocheza wanamkubali kama mchezaji mkubwa wa siku zote! Hii tabia ya kuangalia mpira tena saa nyingine kwenye mabanda afu tunatoa lugha mbovu kama wamiliki wa vilabu haiko poa. Ukichangia kistaarab utaeleweka pia.Umeongea point kiongozi__ Huyu misifa hana lolote__inshort hakuutendea mpira vilivyo na wala hakuziletea mafanikio timu zake, zaidi alikuwa anatingisha matako uwanjani. Harafu eti analinganishwa na king Messi hahaha jamani. Alinganishwe na wakina henry okocha batistuta crespo na wengine.lakini sio mchawi wa soka ni aibu mno messi akisikia analinganishw na huyu atalia sana
We jamaa una mahaba hadi unaboa yaani... Hujui soka, kawadanganye huko mtaani kwenu sio humuGaucho kwa cr7 hagusi.kwa mfalme wa soka ataweza?
Messi ni mfalme/mchawi wa soka...na gaucho ni nani?
Mfalme kamzidi kila ki2 gaucho, ufundi,anauchezea mpira anavyotaka like maradona enzi zake ukija kwenye magori ,makombe,ballon dor , ustaarabu ndani na nje ya uwanja, na takataka kibao tu ambazo alishindwa kipindi chake messi katimiza.na anapendwa zaidi ya mchezaji yoyote unayemujua.
All in All mfalme hafananishwi na vitakataka.
Alafu nimekuambia niletee huyo gaucho.je yupo top 5???????? Kimyaaa, munabaki kusema gaucho ni bora kwa lipi?
Messi
El diego
Pele
Zidane
Requelme n.k
Tumia lugha ya staha! Wamiliki wa vilabu alivyocheza wanamkubali kama mchezaji mkubwa wa siku zote! Hii tabia ya kuangalia mpira tena saa nyingine kwenye mabanda afu tunatoa lugha mbovu kama wamiliki wa vilabu haiko poa. Ukichangia kistaarab utaeleweka pia.
We jamaa una mahaba hadi unaboa yaani... Hujui soka, kawadanganye huko mtaani kwenu sio humu
Kwangu Ronaldinho atabak kuwa Mungu wa soka....huyu jamaa alikua fund haswaa...anaujua mpira.. Tena sana
Akileta nahama Fc BarcelonaPoa poa mkuu mie Cjui soka. Weye unaejuwa naomba uniletee huyo kicheko. Je yupo wapi kwenye topu 5?
Mimi ukiniomba Mchawi messi kwenye topu 5 nitakuretea bila shida.
Ukiniomba Diego maradona nitakuretea
Ukiniomba pele nitakuretea
Ukiniomba zidane nitakuretea.
SASA HUYO MUNAYESEMA NI NOMA JE NA YEYE YUMO KWA HII LIST YA HAWA BABA ZAKE? NAOMBA ULETE FACTS!!!!!!!!!!!!
Hii Dawa Tatu weka mbali na watoto
Akileta nahama Fc Barcelona
Ha ha ha ha ha umeongea ukweli mtupuAitolee wapi? Nilishawambia hawa ndugu zangu. Wakileta facts ka kweli na yeye yumo top 5 naomba mods wanipige ban la kudumu. Alakini hajatokea hata 1.
Kwahyo 2wazowee 2 mkuu wakisema " gaucho alikuw fundi,gaucho alikuwa ni noma" haya ndio maneno yao ya kila day.
Akina Pele, Maradona, Ronadinho, etc - hao woote wamepita.
Lakini je, nani kati yao aliyemzidi Messi kwenye uchawi wa ku-dribble (msisahau na kufunga pia)??
Embu mchekini huyu wizard kwenye hii clip.....Lionel Messi Is The King Of Dribbling
Tukubali ukweli..... Messi is merciless!!
Poa poa mkuu mie Cjui soka. Weye unaejuwa naomba uniletee huyo kicheko. Je yupo wapi kwenye topu 5?
Mimi ukiniomba Mchawi messi kwenye topu 5 nitakuretea bila shida.
Ukiniomba Diego maradona nitakuretea
Ukiniomba pele nitakuretea
Ukiniomba zidane nitakuretea.
SASA HUYO MUNAYESEMA NI NOMA JE NA YEYE YUMO KWA HII LIST YA HAWA BABA ZAKE? NAOMBA ULETE FACTS!!!!!!!!!!!!
kwanza ni wa ovyo sana akiichezea Argentinakwanini GAUCHO anitwa MAGIC PLAYER nafikiri ukigoogle utapata majibu na ukitaka kuujua ubovu wa messi mpeleke timu nyingine ndo utajua