Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

Yametoka
Screenshot_2018-10-17-16-50-15.jpg
 
Orodha za batch zote mbili za 2018 hizi hapa.
 

Attachments

  • batch2_loansallocation.pdf
    9.1 MB · Views: 142
  • heslb_batch_one_2018_2019.pdf
    11.9 MB · Views: 80
Niliongea nao juzi kuhusu allocations wakasema tar 27 lakini hadi leo holaaa ....ivi ambao wamefanya registration wamefanyaje?
 
Back
Top Bottom