Special Thread: Kwa Smart 911 & Mahondaw

Special Thread: Kwa Smart 911 & Mahondaw

SILLENT KILLER 2

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2024
Posts
457
Reaction score
810
Mwaka mpya na mambo mapya.wakuu najua mko vyema kabsa.Hebu nataka kuulza kuhusu hawa memba wetu smart911 na mahondaw.Hawa jamaa sijawahi kuona comment zao zikiwa ndefu tangu kuingia kwangu jf. kwa mfano utasikia,

asante kwa taarifa
Ngoja tuone

Akitotaka hapo anamtag mwenzak Cc mahondaw.labda hii ndo inafanya nimuone unic. labda kwa mliotangulia nipen majibu..? smart911
 
Mwaka mpya na mambo mapya.wakuu najua mko vyema kabsa.Hebu nataka kuulza kuhusu hawa memba wetu smart911 na mahondaw.Hawa jamaa sijawahi kuona comment zao zikiwa ndefu tangu kuingia kwangu jf.kwamfano utasikia
asante kwa taarifa
Ngoja tuone
Akitotaka hapo anamtag mwenzak Cc mahondaw.labda hii ndo inafanya nimuone unic. labda kwa mliotangulia nipen majibu..? smart911
Mambo yao waachie wenyewe

Cc:
Smart911
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom