Special thread krismasi ya 2015

Special thread krismasi ya 2015

toeni udini wenu hapa...mbona sherehe za maulid haukuanzisha uzi...mnakera sana nyie watu

Mkuu ni majukumu kwani hata wewe unge anzisha hiyo thread tunge ifurahia tu hapa hakuna kubaguana
 
Merry x mass wote humu
shukrani wote mlienitakia x mass njema
 
Back
Top Bottom