Special thread: Kilimo cha umwagiliaji (Irrigation)

Hizo hs code zimetolewa na tra.
Download hicho kitu
Kwa kweli niseme tu, shukran sana! Naimani hii itawasaidia na wengine ambao wana nia ya kutumia drip au kuagiza kitu nje!

Nitazitafuta hizo hs code niwe nazo kabisa kama kumbukumbu!! Wengi wamekatishwa tamaa na bei za hawa dealers wa huku kwetu! Mfano kwa case yako...mita moja inauzwa dola 0.086 kwa mita 1000 inakua dola 86!

Ukipeleka kwenye tshs....86*2270tsh inakua 195,220tsh (makadirio ya juu) which is reasonable!

Roller ya mita 1000 nadhani hata haizidi 200,000/= hapa bongo wanauza parefu sana duuuh!!

Umekua msaada mkuu! Shukran sana!!
 
Hawa jamaa wanayo complete kit ya heka moja 240usd, full kit na mipira
 
Hawa jamaa wanayo complete kit ya heka moja 240usd, full kit na mipira
mkuu mda sio mrefu nami nitahitaji vifaa vya drip vya heka 1 mimi sijawahi kuagiza vitu nje nitaomba ushirikiano wako
 
Nimetoa details zao zote,
Wanapatikana hata kwenye watsp
Wape mahitaji yako
Watakutumia.
Au kama utahitaji msaada wowote niambie
Vipi nikituma hela alafu mzigo usifike ntaanzia wapi?
 
Sasa fanya hivi kwa kukusaidia.
Waambie umepata information kutoka kwa Mr Ambari.
Na unataka uhakika wa mzigo wako kufika.
Wacha wao waamue kunitumia mimi au wanamtu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…