Eliakeem kwa hivyo tukuamini bila evidence? Mimi ninajitahidi kuleta evidence, wewe unajaza uzi wako kwa maneno matupu.Wala hizi bill hazihusiani na petroleum Acts. Hizi zitahusu EACOP kama entity tu.
Eliakeem kwa hivyo tukuamini bila evidence? Mimi ninajitahidi kuleta evidence, wewe unajaza uzi wako kwa maneno matupu.
🙏🙏🙏🙏👍Karibu sana kaka. You will be getting the updates from this thread.
Hiyo ni east african bill ndio wanaongelea.Wewe jana si ndio ulisema kwamba tayari mumepitisha sheria ya petroleum ya 2014 kwa hivyo hamstahili kupitisha sheria mpya? Nilikuwa nakuweka sawa yaani kukuonyesha tu kwamba ulikuwa wrong.
how uganda will finance its 15% shareView attachment 1822503
Huu mradi sioni kama utatransform Tanzania sana. Malazy mnapata $3 billion from gold ila nchi bado imeparara kama mburukenge. Usitegemee hio $1 billion per year ya mafuta kubadilisha chochote.
hahah. hii comment inenifurahisha sana. kwani kwenye mambo ya bill vipiHuu mradi sioni kama utatransform Tanzania sana. Malazy mnapata $3 billion from gold ila nchi bado imeparara kama mburukenge. Usitegemee hio $1 billion per year ya mafuta kubadilisha chochote.
Kwani unadhani hio $1 billion ndio itafanya nini? Nchi kama Angola inaexport karibia 2 million barrels per day na bado nchi imejichokea hata tumewashinda kwenye Gdp.hahah. hii comment inenifurahisha sana. kwani kwenye mambo ya bill vipi
Kwani unadhani hio $1 billion ndio itafanya nini? Nchi kama Angola inaexport karibia 2 million barrels per day na bado nchi imejichokea hata tumewashinda kwenye Gdp.
Usisahau Uganda wana Tilenga na Kingfisher. Nyinyi mna 80% ya pipeline lakini Uganda wana share kubwa zaidi ya mradi wote ukijumulisha pamoja na oil production facilities. Kwa hivyo upunguze maringo. Uganda bado wana percentage kubwa wa mradi huu. Hata refinery itajengwa Uganda.80% of the project will be in TZView attachment 1822894
Usisahau Uganda wana Tilenga na Kingfisher. Nyinyi mna 80% ya pipeline lakini Uganda wana share kubwa zaidi ya mradi wote ukijumulisha pamoja na oil production facilities. Kwa hivyo upunguze maringo. Uganda bado wana percentage kubwa wa mradi huu. Hata refinery itajengwa Uganda.