Special Thread, COPA America 2015

Dk 88

Peru wanafanya counter attack...

Pasi ya mwisho inayomfikia Guerrero inaishia kambani mwa Paraguay...

Peru 2 - 0 Paraguay

Ebana ni shida!! Si nikajisahau nikashangilia mhh!! Mr kanikata jicho hilo. ......Anaona nafaidi yy yuko bize na sterling.
 
Game ya kesho sijui itatoa matokeo gani...

Ila naona itakuwa fainali murua sana...

Hata nami nategemea kuona moja ya game la nguvu kabisa......ila Chile wanacheza rafu sana wasije wakaliharibu game.
 
Chile wale huwa nawaona si wazuri sana defensively...

Ubora wa Bravo hadi sasa ndio unawaweka mjini...

Tusubiri tuone itavyokuwa...



Hakuna lolote ndugu yangu...

Leo yetu macho na masikio.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…