Special Thread, COPA America 2015

The best i could get atm. Hongera everlenk na Albiceleste fans wote, nendeni mkabebe kombe mbuzi lenu.

Last edited by a moderator:
If i didn't know better, i'd say it's ridiculous how he's not MOTM, if i didn't know better.

Mkuu tukisema tunaonekana anti kirikuu, ngoja tunyamaze tu.. na jiweke vizur kisaikolojia maana naona kabisa kirikuu atakua mchezaj bora wa mashindano hata kama hastaili kama alipewa wa kombe la dunia hawawez shindwa kumzawadia na hapa
 
Shemeji umemsaliti mtakatifu wa soka... ona sasa umeshapigwa chini.

Rudi nyumbani...

Hapa sikumsaliti wangu ila ilikuwa wishes nilitamani Brazil na Argentina wakutane final, Shem nimekumiss mpaka natetemeka.
 
The best i could get atm. Hongera everlenk na Albiceleste fans wote, nendeni mkabebe kombe mbuzi lenu.

Hahahhahahhaa!!!!! Mwaaaaaaaa!!! Thank you baby, nimefurahi kwamba umekubaliana na ukweli, wahenga wanasema muungwana akivuliwa nguo huchutama........ Asante sana mpz...... Hivi..... Copa America nayo ni kombe la mbuzi eeeh? Come on baby!!!.....anyway I understand it, you tried to encourage yourself...... Worry not honey next season might be your time.....
 
Last edited by a moderator:
If i didn't know better, i'd say it's ridiculous how he's not MOTM, if i didn't know better.

Mkuu tukisema tunaonekana anti kirikuu, ngoja tunyamaze tu.. na jiweke vizur kisaikolojia maana naona kabisa kirikuu atakua mchezaj bora wa mashindano hata kama hastaili kama alipewa wa kombe la dunia hawawez shindwa kumzawadia na hapa

Siyo mahaba Bali ni ukweli mtupu kwa jana alistahili Messi ile last match alipata ADM na alistahili kabisaaaa kuipata alicheza vizuri,ile ya robo final somehow walakini alistahili Ospina na si Yeye......... Nipigeni mawe tu wapenzi wangu ila ya leo Yes to Messi!!!!!!!!!!!
 
Aiseeeeeh.. haya umeshinda mama na hongera kwa ushindi😩
 
​Kwa mtazamo wangu naona Argentina wakishinda goli 2-1 fainal ila wasiwasi wangu ni hawa chile wanabebwa hawa wapuuzi kwa sababu wapo nyumbani...
 
Hehe una macho makali kweli.
 
Mkuu tukisema tunaonekana anti kirikuu, ngoja tunyamaze tu.. na jiweke vizur kisaikolojia maana naona kabisa kirikuu atakua mchezaj bora wa mashindano hata kama hastaili kama alipewa wa kombe la dunia hawawez shindwa kumzawadia na hapa

Hahaha mi nilishajiandaa zamani sana, ndio maana saivi i'm just having fun with it.
 
Hapa sikumsaliti wangu ila ilikuwa wishes nilitamani Brazil na Argentina wakutane final, Shem nimekumiss mpaka natetemeka.

Usitetemeke mwenyewe shem, nadhani itabidi tutetemeshane kama Lionel Messi na Manuel Neuer....

si unajua kazi yangu itakuwa kukufunga??
 
Bila shaka wala kupepesa macho argentina bingwa na MAN OF THE MATCH ni KING MESSI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…