Special Thread, COPA America 2015

Umekosa pande zuri la Sanchez lilizaa bao la pili kwa Chile...

Sanchez kwenda kwa Vargas, akatupia kwa banana kick...

Duh! Kumbe tumepitwa eeh? Mimi nilistuka hiyo saa 8 nikajifikiria weee ahh!! Uzalendo ukanishinda usingiz ukawa mtamu......
 
Duh! Kumbe tumepitwa eeh? Mimi nilistuka hiyo saa 8 nikajifikiria weee ahh!! Uzalendo ukanishinda usingiz ukawa mtamu......

Usikose mitanange mingine ifuatayo...

Timu za Amerika ya kusini nyingi zina mpira mzuri mathalani Colombia, Chile, Uruguay na wakongwe Argentina na Brazil
 
Usikose mitanange mingine ifuatayo...

Timu za Amerika ya kusini nyingi zina mpira mzuri mathalani Colombia, Chile, Uruguay na wakongwe Argentina na Brazil

Tutakuwa pamoja, leo sijacheki ratiba naomba ratiba nani na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…