Tupo pamoja #teamArgentina kombe la dunia lilitupita kidogo..........
Mate mimi huku sina mzuka sana ila my wishes ni kwa Argentina na Brazil.mashabiki wa messi naona mnajifariji, kumbukeni dunga karudi na ndie m baya wenu,
dunga amekua akiwasumbua argentina kwa muda mrefu, ombeni msikutane nae, unakumbuka fainal 2007 (venezuela kama sikosei) argentina inalala 3-0, argentina yakina riquelme, veron, aimar, cambiasso, messi na tevez, wakati stricking force ya brazili ikiwa na julio baptista, robinho na vagner.
dk 4 julio baptista, dk 40 alves kichaa akitokea sub kapiga fataki Ayala kadeflect kitu wavuni, dk 69 Alves tena kamaliza mchezo mwisho wa siku ubao ukasomeka 3-0, mara ya pili mfululizo brazili anampokonya kombe argentina.
ombeni msikutane na #teambrazil
mashabiki wa messi naona mnajifariji, kumbukeni dunga karudi na ndie m baya wenu,
dunga amekua akiwasumbua argentina kwa muda mrefu, ombeni msikutane nae, unakumbuka fainal 2007 (venezuela kama sikosei) argentina inalala 3-0, argentina yakina riquelme, veron, aimar, cambiasso, messi na tevez, wakati stricking force ya brazili ikiwa na julio baptista, robinho na vagner.
dk 4 julio baptista, dk 40 alves kichaa akitokea sub kapiga fataki Ayala kadeflect kitu wavuni, dk 69 Alves tena kamaliza mchezo mwisho wa siku ubao ukasomeka 3-0, mara ya pili mfululizo brazili anampokonya kombe argentina.
ombeni msikutane na #teambrazil
My wishes to Brazil hope watalibeba kwa Mara nyingine.
Tupo pamoja #teamArgentina kombe la dunia lilitupita kidogo..........
saa 8:30 usiku.
ni 2:30am. itakuwa tayari tarehe 12. kwao itakuwa 11.Ndugu naomba kueleweshwa mech hiyo ni ya 8:30 pm(20:30) au 2:30 am?
Hahahah!!! Usichanganyikiwe my kaka huku mzuka si sana ila nina timu zangu mbili katika hizo nitafurahi kama mojawapo atachukua mwali....ila katika hizo yupo anayependwa sana.
Game zitakuwa tamu sana lakin huu muda kwa huku tz ni mbaya sana.ni 2:30am. itakuwa tayari tarehe 12. kwao itakuwa 11.
Mkuu herrera, soka la south america linafanana sana. Wote wanacheza mpira wa pasi. Lakini kubali au kataa kizazi hili cha sasa kwa Argentina ni noumar. Ile forward line yao ndio inaongoza kwa kupachika mabao huko ulaya. Messi, anaongoza Kule spain, Tevenga anaongoza Kule italy pamoja na Higuein. Kun Aguerro ndio master pale EPL.
Kwa ujumla Argentina wana nafasi ya kuchukua hii ndoo pale Chile. Wana kikosi bora kabisa tangu kile cha mwisho cha kina Diego Maradona, Claudio Caniggia, George Burruchagga waliotamba miaka ya 1980-1990.
Dah! We ni noma, hata huku una timu 2? Halafu burudani zaidi hizo timu ni wapinzani wa jadi. Hahaha umetisha.
lakini zingine zitaanza saa 4. muda na brazil siyo tofauti sana sema world cup uerope wasingekubali muda uwaumize na ukizingatia wadhami wa hela ndefu wako ulaya.Game zitakuwa tamu sana lakin huu muda kwa huku tz ni mbaya sana.
Kwanini muda umetofautiana sana na ule wa brazil?!
Hahahahhah!!!!! Labda sababu ni pacha najikuta napenda viwili viwili.......... Ule upinzani wao kwangu ndo burudani natamani hata fainali iwe ni kati ya nchi hizo.