I wish Taifa stars wangekuwa wanatupa raha nami nipigilie vitu vyangu kama hivi kijani, njano,bluu,nyeusi .......ningekuwaje mtamu !!!!! Mcharo angesubiri.,...........hiki kichwa cha mwendawazimu sijui lini tutapona.......

Halafu ukitoka uwanjani baada ya mpira kwisha umenuna ile mbaya baada ya kukung'utwa kwa uzembe wa timu. Mie mpira wa Bongo nilishanyoosha mikono juu maana ni masikitiko tu miaka nenda miaka rudi. Halafu hawa TFF kwa upumbavu wao badala ya kuhakikisha wanakuza vipaji vya Watanzania wanaruhusu timu za kwenye ligi kuu zisajili mpaka wachezaji wanane wa kigeni. Hii TFF yote ni ya kutimuliwa haraka sana.