Special thread clinical officer 2018/2019

CO siku hizi imekaza mno.. sio siri mnaojiandaa kwenda huko mkapambane maana naona madogo supp km maji hivi..hasa hasa nta level 5 ndo pagumu zaid. Kila la heri Maafisa Tabibu
 
Umeongea vizuri mkuu, wanaweza pia kucheki prosthetics and orthotics ile kozi ya viungo bandia
 
Kweli kabisa, hayo ndio yaliyonikuta mimi mwenzenu.
 
Sorry wadau waliopitia elimu ya ngazi hii ya diploma ya clinical medicine ni changamoto zipi walipata hasa kimasomo na ni courses zipi zinaonekana ngumu huko ili tujipange kukabiliana nazo
 
hakuna bata uzingua unarudi kwenu semista one kuna masomo nane semista ya pili masomo sita mwaka wa pili yanakua matano kwahyo yanapungua ila mziki pale pale sikutushii ila ndo ukweli kwa mfano ukienda semista ya kwanza kuna microbiology, parasitology and entomology, epidemiology, biostatistics ana emergency , communication skills , resource management and entrepreneur , clinical nutrition, medical ethics , anatomy and physiology nadhani izo modules kama cjakosea
 
Kuna possible ya kuhamia hapo Kibaha sem 2?
 
Mimi pia nampango wa kuomba mwaka huu ila nilisoma community health ya mwaka mmoja pare singida chuo cha maabara
 
Vp kazi zipo kwasababu me nipo kilosa cotc namaliza mwaka huu
Mi mpaka kupata wazo la kubadil koz kaz hakuna ndug toka nmemaliza 2016 mpka leooo Chws ni coz ya hovyo najuta hata kwanin nilipoteza muda wangu
 
Mkuuu umeongea ukweli kabisa unaweza ukajiona umetok o leval uko nondo vibays mno ila huo mlima aiseee uache tu tulio na experience tunaujua huu mziki ila kama unapenda kuonja sio mbaya unaweza ukaonja hata sumu ili badae unywe maziwa matamu kuondoa sumu Kali ulioionja ila njia sahihi ni shortcut
 
Mkuu kunawatu wanapambana sio kitoto tuna experience na hili ila mwisho wa siku mambo hua sio mambo mziki wa advance kwa miaka hii ya magufuli sio wakitoto lazima ugeuke Newton usahau hadi kuchamba unakunya huku unakula pindi chooni sio mchezo wajomba nendeni mkaonje sumu afu mje mrudi kunywa maziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…