Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

ingawa tumefungwa timu sio mbaya kiujumla, wachezaji inapaswa waongeze juhudi wanapocheza timu ya taifa kwani ni nafasi yao kuonekana kimataifa. Pia inafaa wawe wanaandaliwa kisaikolojia vizuri muda wote ndani na nje ya uwanja.
 
Watanzania tuna fani zetu , sio mpira! Huu tuwaachie wenyewe akina suarez...!
 

apparently 3 stadiums are carpeted! The National Stadium the uhuru stadium plus Chamazi stadium ! So u see the tanzanian team is not used to playing in swamps like the ones u have in Kenya! I gec itz about time the Harambee stars change their nickname to "the catfish"! It suits u guys much better
 
kumpa penalti mchezaji kama huyu ambaye bado hajajenga confidence ni risk...
Hasa Penati inayotarajiwa kuwa ya ushindi, mimi huwa naona anayepiga penati ya kwanza anatakiwa kuwa mzuri na mzoefu vivyo hivyo penati ya mwisho, ile ya mwisho angepiga Yondani nafasi ya tatu ilikuwa halali yetu lakini naye amepoteza matumaini baada ya kuona wenzake wawili wamekosa.
 
Ni kweli mkuu...

 
ingawa tumefungwa timu sio mbaya kiujumla, wachezaji inapaswa waongeze juhudi wanapocheza timu ya taifa kwani ni nafasi yao kuonekana kimataifa. Pia inafaa waandaliwe kisaikolojia ndani na nje ya uwanja.

Mnaridhikaaa
 

sisi kweli ni wa kukosa yani.
sijabahatika kuangalia mechi, nmekuja mbio kuangalia matokeo..nimekuwa mpole ghafla!
 
Wakuu tukubaliane kuwa twapaswa kuwekeza kwenye mpira na riadha kwa kuanzisha sports academy kila mahali nchi nzima.

Pia vipindi vya michezo shule za msingi na mashindano kama ya UMITASHUMTA na yale sekondari ya UMISSETA lazima yarudishwe mashuleni.
 

mkuu umesahau KARUME
 
Ngoja nirudi zangu jukwaa la siasa, nikagombane na magamba.
 
[TABLE="class: match-details match-ellipsis league-table mtn"]
[TR]
[TH="class: sts"]kwa mujibu wa mtanda wa LiveScore Soccer : Live Soccer Scores by LiveScore.com



AET
[/TH]
[TH="class: home"]


Tanzania *
[/TH]
[TH="class: sco"]


1 - 1
[/TH]
[TH="class: awy"]


Zambia
[/TH]
[/TR]
[TR="class: partials"]
[TH="class: sts"][/TH]
[TH="class: home"]half-time:[/TH]
[TH="class: sco"](0 - 0)[/TH]
[TH="class: awy"][/TH]
[/TR]
[TR="class: partials"]
[TH="class: sts"][/TH]
[TH="class: home"]penalty shoot-out:[/TH]
[TH="class: sco"](5 - 4)[/TH]
[TH="class: awy"][/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: title, colspan: 4"]match details :[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: min"] 51' [/TD]
[TD="class: ply"]
[/TD]
[TD="class: sco"] 0 - 1 [/TD]
[TD="class: ply"] Roland Kampamba
[/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: min"] 64' [/TD]
[TD="class: ply"] Mbwana Samata
[/TD]
[TD="class: sco"] 1 - 1 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Holly hell....Tanzanians with ua average IQ,no wonder ua ladies get laid so easily
 
Holly hell....Tanzanians with ua average IQ,no wonder ua ladies get laid so easily

Sasa kijana naona unaleta dharau kwa Watanzania...wengine tulikuwa kimya tukijua unajenga hoja

Hivi umesahau namna wanaume wa Kenya wanavyoendekeza ushoga...haswa maeneo ya Lamu huko...
 
Sudan wamezuiwa hitelini gemu imechelewa kuanza. Wachezaji hawajalipiwa huko hotelini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…