Asante sana Mkuu, bila shaka hawa nyang'au watakaa kimya muda mfupi ujao. Natafuta kitufe cha 'Like' sikioni.
Mkuu siku moja njoo umsalimie Lunyamila ni jirani yangu huku Mbezi kwa Yusuf.Haina shaka mkuu...
Mara kadhaa nimeshamuona Lunyamila akifanya mazoezi, ana uwezo bado...
Kuna wakati mwaka jana nilimuona Tigana pale Leaders naona bado ana uwezo...
Hao wengine sijapata kuwaona kwa umri wao huu wa uveterani...
Dk 45
Kili Stars 0 - 0 Zambia
Mkuu siku moja njoo umsalimie Lunyamila ni jirani yangu huku Mbezi kwa Yusuf.
Kwa dakika 45 za kwanza wamecheza vizuri, kilikosekana ni bahati tu, wale madogo ni wazuri lakini wanatatizo la kutoa pasi za mwisho, wanapenda sana anao anao anao matokeo yake wanaharibu, ngoja tusubiri huenda akawaingiza kipindi cha pili.Nimewaona Kili Stars ni kama vile wanyeshewa mvua, sijaona ile mikikimikiki ya kutafuta ushindi. Huyu Poulsen mimi sina imani naye kabisa, kuna watu kama akina Singano na Chanongo wamekaa benchi na magoli yao, sijui ni kwa nini hawa dogo hawapewi nafasi!
Ndo icon ya mtaa wetu, hata kama mgeni anakuja unamwambia achukue piki piki hadi kwa Lunyamila, huwa naonana naye mara moja moja sana.Hahah!! mkuu kumbe unakaa hapo kwa Yusuph...
Nimeshaishi sana maeneo ya Msigani kama unapafahamu, kuna wakati huyo bwana alikuwa anafanya mazoezi eneo moja linaitwa Zone...
Na kuna wakati fulani nilikuwa namuona sana pale kituo cha mabasi cha zamani, sijui alikuwa na biashara pale!!!
Nimewaona Kili Stars ni kama vile wanyeshewa mvua, sijaona ile mikikimikiki ya kutafuta ushindi. Huyu Poulsen mimi sina imani naye kabisa, kuna watu kama akina Singano na Chanongo wamekaa benchi na magoli yao, sijui ni kwa nini hawa dogo hawapewi nafasi!
Kwa dakika 45 za kwanza wamecheza vizuri, kilikosekana ni bahati tu, wale madogo ni wazuri lakini wanatatizo la kutoa pasi za mwisho, wanapenda sana anao anao anao matokeo yake wanaharibu, ngoja tusubiri huenda akawaingiza kipindi cha pili.
Mkuu mimi kuna jambo moja huwa naliona kwenye timu zetu za Taifa, makocha wengi huwa wanaogopa lawama na ndio maana huwa wanapanga wachezaji ambao wana majina hata kama mpira umeanza kwenda alijojo.
So far kwa miaka ya karibuni ni Maximo pekee aliyeamua kuziba masikio na sote tuliona matokeo yake...
Pili hatuna mechi nyingi za kimataifa za majaribio ili kuweza kujenga confidence kwa hawa yosso, mwisho wa siku tunawaita kwenye mechi za mashindano ambazo tunahitaji matokeo na kuwapanga ni kama kucheza kamari vile.
Mkuu unazi hautakiwi kwenye timu ya Taifa, si unaona sisi wa familia ya Msimbazi pamoja na kwamba vijana wetu hawapo wengi lakini tunajitahidi kusupoti timu, Zambia wanapata goli.Kuwadhibiti wachezaji wasikae na mpira muda mwingi ni sehemu ya kazi ya kocha. Kiukweli wale dogo ni wazuri, wanacheza upande wangu wa kushoto lakini kiukweli nimeweka kando unazi na kusema ukweli wale dogo wapewe nafasi watatutoa kimasomaso.
Mkuu unazi hautakiwi kwenye timu ya Taifa, si unaona sisi wa familia ya Msimbazi pamoja na kwamba vijana wetu hawapo wengi lakini tunajitahidi kusupoti timu, Zambia wanapata goli.
Man blame it all on the weather,had u seen Machakos stadium b4 the rains began,the playing surface was just sweet.about the Fifa rankings kenya-117,Tz-124,What's your pointI didn't respond to your question as you didn't comment on the FIFA rankings. Once you answer me I will come back to your question. An offer is deemed rejected if the response is accompanied by counter offer. If you have such stadia why have you been taking us to stadium like that of Machakos? What was your exact intention. I presume you had an ill-intention!
Hapa mambo yashaharibika.
Vijana pendekezo lako wameingia kwa mpigo.Muda bado Mkuu, lolote laweza kutokea.