Special Software which can switch off Computer Automatically

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
291
Ndugu wadau wa Jf

Ningependa kufahamu kuhusu software ya aina hiyo kama ipo, Ambayo baada ya kuwa installed in a computer then ukifika muda fulani (Ambao nitakua nimeipangia) Basi Computer inajizima yenyewe

Kwa maana hiyo nitaweza kuinstall hata kwenye computer Hamsini na ukifika muda niliopanga zinajizima zote kwa Pamoja.

Natanguliza shukrani za Dhati kabisa
 
[h=3]How to Set a Timer for Automatic Shutdown without any software[/h] Setting up a timer for automatic shutdown is no big deal, in fact many people would already know about it, but if you don't, read on.
There is no software to install and no tweaks to be made. An automatic shutdown is inbuilt into Windows and ready to be explored. Let's check out how we can set a timer for automatic shutdown.

  1. Right click on the desktop. Select New â†' Shortcut.
  2. A New Shortcut dialog box will appear.
  3. In the location box, this is how you will enter the details: shutdown.exe is for calling the shutdown executable. s is the command for shutdown. f is for performing a forced shutdown. If an application stops responding when shutting down, this command will force shut it. Using this command is not compulsory, but recommended. And next, the t command is for specifying the time the shutdown will take place. After you put the t command give a space and then enter the time in seconds. So in the above example, the computer will be shut down in 6 hours. Let's put the whole command in one line:shutdown.exe -s -f -t seconds
  4. Click next and the shortcut will be created on the desktop. Give it a name and click it whenever you wish to initiate an automatic shutdown. If you want to change the time, right click on the shortcut, select properties and change the time from the dialog that opens.
Tip: This command can also be initiated from the Run box or CMD.
Tip 2: If you want to display a message that displays when the countdown is in progress, you can append a c command with a message attached. Like this:
-c Computer is shutting down

Tip 3: If you want to restart the computer instead of shutting it down, replace the s with r. Similarly, if you'd like to logoff, replace s with l.
[h=3]How to abort Shutdown[/h] If you just woke up from sleep and feel like working on your laptop a bit more, there is no easy way you can abort the shutdown. The cross on the top will not work and you won't be able to kill the process from task manager. But still there's a way to stop the timer and stopping the bomb before it blasts.

  1. Click the WinKey + R
  2. The run dialog box will appear. Type shutdown.exe a
  3. A stands for abort. The shutdown timer will vanish.
 
kwa lugha ya kinyumbani tuseme Right click kwenye desktop then unaselect new shortcut na kikishatokea kile kiboksi unatype shutdown.exe -s -f -t60 then unaclick next na kurename.
utaona hiyo shortcut kwenye desktop utaclick hiyo mchezo kwisha maana pc itajizima baada ya dk 1(60 second).
kama utahitaji ishutdown baada ya dakika 30 pale kwenye 60 utaweka 1800 yaani 60x30 dah.... DEVUQUARTER-DEVUKOTA we Noma

 
Last edited by a moderator:
Swadakta......tena uki create 1 tu yatosha maana ukitaka kuedit tyme ya kulog off unaright click ile kidude pale kwa desktop na kwenda properties itatokea kama kwenye screen shoot hapo chini tena ni very easy tu kufanya masahihisho ya muda.


ukimaliza kuedit sasa click ile shortcut itatokea hivi

yaani mpaka raha.....software tupa kuleeeeeeee
Krapka Davinooooooooooooooo
 
DEVUQUARTER-DEVUKOTA, nimekukubali mkuu.
 
kawaida icon inakuwa na muonekano kama kwenye screen-shoot


Kwa wale wnaopenda kuedit/kuremba ikon fanya hivi:-
Nenda properties then fuatisha screen





Muonekano mpya ndiyo huu


 
Wakuu mbarikiwe saaaaaaaana mmeokoa jahaZi kwa kiasi kikuba sana God bless you brothers
 

So mkuu does that mean itakua inajizima kila siku yenyewe automatically, forhistance mtu akiiwasha asubuhi ningepende ijizime yenyewe ikifika saa 8 usiku kila siku is that possible au itabidi awe anaclick hiyo icon first i ianze ku count down
 
Last edited by a moderator:

Hizo computers ni za aina gani?

Zinatumia operating system ipi?

Kwa nini unataka ziwe zinaji-switch zenyewe?

Kama zinatumia Windows 7

1. Nenda Start > Control Panel > System and Security > Administrative Tools then bofya Task Scheduler.

2. Kwenye Action menu inTask Scheduler, click "Create Basic Task..."

3. In the "Create Basic Task Wizard" windows that pops up, Type in a title and a description. Something basic like "PC Shutdown."

4. Click "Next."

5. On the "Task Trigger" screen, choose the frequency with which you want the Shutdown PC to run. For nightly shutdown, click on "daily" and click the Next" button.

6.On the "Daily" screen, enter the date and time you want your PC to shutdown. Click "Next."

7. On the "Action" screen, choose "Start a program" and click "Next."

8. On the "Start a Program" screen, type C:\Windows\System32\shutdown.exe in the "Program/script" text field.

9. In the Add arguments text field type /s.

10. Click "Next."

11. Confirm your settings on the Summary screen and click "Finish."

Now your Windows 7 computer will automatically shutdown at the same time every day/night.

How to schedule computer to shut down at a certain time in the night. - Microsoft Community
 
So mkuu does that mean itakua inajizima kila siku yenyewe automatically, forhistance mtu akiiwasha asubuhi ningepende ijizime yenyewe ikifika saa 8 usiku kila siku is that possible au itabidi awe anaclick hiyo icon first i ianze ku count down

Jibu lipo hapo kwenye nyekundu na hiyo ni hata kwa software.
Wewe calculate muda na kuset vizuri then..... ila nadhani umeme ukikata au ukishutdown itabidi uingie setting upya kulingana na muda utakaobaki
 

Data una computer nyingi? Na unataka zijizime zote kwa muda mmoja? Je huo muda wa kujizima inabidi uwe unabadilika badilika? Lets say leo zimejizima saa kumi usiku, then ungependa labda next week ubadilishe muda zijizime saa mbili asubuhi...?


Je hizo computer zipo kwenye network? I mean zipo connected to each other?


Nakushauri umwage data ya scenario yako ili wadau watoe maoni ya solution nzuri zaidi.

Imagine una computer 100, sasa kufanya hiyo setup manually kwa kila computer nadhani si pouwa sana. Then imagine time sio fixed kama nilivyosema hapo juu, then kubadilisha badilisha time kwa 100pcs ni issue pia.

Weka requirments dada, suiogopeeeee.
 
nawashukuru sana Wadau nikiunganisha hizi data tatizo langu limeshatatuka mbarikiwe nyote kuanzia DEVUQUARTER-DEVUKOTA (UBARIKIWE); Kyenju (UBARIKIWE); Electrical Engineer (UBARIKIWE); Paje mtaalam wa kugongea wallpaper (UBARIKIWE)

Mungu ninakuomba endelea kuibariki JF na members wake waendeleee kuwa na moyo huo huo
 

Mkuu, kama una pc zaidi ya moja, yaani unatumia pc network.
Download hii kitu na uijaribu alafu utanipa majibu, bofya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…