Special Romantic Moments......


Mupenzi wangu MwanajamiiOne, naweza funguka kwenye PM?
 
Nani huyo? hebu eleza vizuri basi??

Inawezekana ulikuwa na shost wako akukupa umbeya wa kutosha au???

Mzee DC......unataka kudai Mahari kabla watoto hawajaridhiana? hahah muda ukifika utaambiwa tu na itifaki zitazingatiwa nawe kama Babu utapata kiko chako hahahha............... hakuna mwingine zaidi ya Mjukuu wako wa hiari!!!! Need I say More??
 
Binafsi zote zimalizwa na maumimivu, naamini kuwa mwisho mzuri ndio hukumbukwa kuliko mwanzo nzuri mwisho uwe mbaya.

....optimists twasema, 'nyota njema!......'
pessimists ndio mtaokuja na hopes za mwisho mzuri...
e bana wee...kwenye mahusiano & mapenzi hakuna mwisho mzuri!
 
....optimists twasema, 'nyota njema!......'
pessimists ndio mtaokuja na hopes za mwisho mzuri...
e bana wee...kwenye mahusiano & mapenzi hakuna
mwisho mzuri!

Ndo kusema hapo, mkuu, umekuwa rational? LOL (afu nahisi kama hii sredi inanikwanza ngoja niende kwa gadaffi)
 

Unaongelea kuoa au kuwowa?
 

Lazima ulienjoy sana Mbu.....

 

Attachments

  • images.jpeg
    3.3 KB · Views: 40
Reactions: Mbu
Nani huyo? hebu eleza vizuri basi??

Inawezekana ulikuwa na shost wako akukupa umbeya wa kutosha au???
Hahahahahaaaaaaaaaaaa hii nimeshindwa kujizuia kucheka....................Mzee DC nimesema memories za kukufanya ujisikie someone special.......je shoga anawezakufanya ujisikie someone special kwa umpendaye??
 
Mbu na MwanajamiiOne hivi mnajua nyinyi mkiandika kitabu cha malovee mtauza sana? Mmewahi fikiria hilo?

...dahhh, thanks for the compliments kiongozi...huyu MwanajamiiOne natamani nimjue in real life yukoje...lol!
She's my inspiration kwakweli....


Ndo kusema hapo, mkuu, umekuwa rational? LOL (afu nahisi kama hii sredi inanikwanza ngoja niende kwa gadaffi)

...lol,....basi achana nayo hii sredi bana, usijesababisha usiku ukawa mfupi bure.
ngoja nami nikalale ...nikiwazia maneno ya mwj1 kujiskia raha kiasi
cha yeye kuishiwa busara ya jinsi ya kuonyesha furaha yake...
 

Hivi retreat yenu ilikuwa ya siku ngapi vile......?????
 
Umeona ee Preta....hujambo lakini? umenisahau kabisa huko Yaeda chini ntafutie japo kaswala kadogooo

sijakusahau bana.....tuswala tumeisha....tumebaki tule twingine tufupifupi.....njoo twende hapa......hutajutia....

 
Tunawasubiri waliopitia watu madata, wengine ni ndoto mpaka sasa, all relations i had ni kero tu, sitaki hata kuzikumbuka.
Hata mimi nakuunga mkono kabisa Remmy, yaani akyanani mimi sijawaiona hizi kitu, hata kukumbuka nyuma au sasa sitakagi kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…