MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Wapendwa wanaJF
Ni matumaini yangu wote mu wazima. Nimewamiss sana wote.
Kwa mara nyingine tena ninawaomba tushee pamoja baadhi ya kumbukumbu (memories) ambazo tulishawahi kuzipitia kwenye maisha yetu ya mahusiano. Ninaelewa wengi mlishazipitia zile 'Romantic Moments" ambazo zilikufanya ujisikie kuwa wewe ni A VERY SPECIAL PERSON katika maisha ya huyo alokupa hiyo great romantic moment. Najiuliza tu
Je unaonyeshaje kuwa umeridhika, umefurahia na unamshukuru vipi kwa kukupatia nafasi hiyo au tunachukulia tu ni jukumu lake kukupa good times kwa kuwa tu u her/his chosen one? How do you show your appreciation?
mbu una hatari sana lol

Mpenzi wangu Nyani Ngabu (Mpenzi kaka nsijevunjiwa screen bure)Sweet Eazy
aisee acha tu,...nimeng'atwa na mbung'o huko katika harakati za kumfurahisha madame, and it worth every penny aisee....nasubiria maumivu yakizidi nikamuone dakitari, otherwise, the retreat was excellent na madam hakuwa yule mwenye gubu la 'tunaharibu hela....!' yeye ni smiles tu...aisee maisha haya ni raha sana bana...
you only live once....kujipendelea muhimu!
long tym bro, kwema?
...namimi nimeli miss jukwaa hili kwakweli...mwanajamiione, treasure the moment & sweet memories.
Nikijitolea mfano wangu binafsi, natabasamu nikikumbukia masaa machache yaliyopita nilikuwa najipendelea
mbugani kwenye romantic retreat moja inayotizama korongo kuu;
....tabasamu lililokuwa linaupamba uso wa madame, muda wote nilokuwa
nae safarini lanitosheleza na lanipa tabasamu na furaha tele moyoni...
na wala sihitaji malipo ya aina yoyote, kwani lengo nia na madhumuni ilifikiwa
i.e...kufurahi pamoja..
Tall mydia nadhani sijakuelewa.........nianze mimi kufanyaje??1.ingefaa zaidi uanze wewe mkuu.
2.kwangu mimi sina cha kuandika.sio hazipo,ni kuwa zipo ila haziandikiki.
Tunawasubiri waliopitia watu madata, wengine ni ndoto mpaka sasa, all relations i had ni kero tu, sitaki hata kuzikumbuka.
REmmy jamani mbona unaniangusha?? haiwezekani iwe kero tu bana otherwise usingemkubali awe wa ubani wako!! Good memories zinajumlisha hata zile za wakati mnaanza urafiki....zile za kuandikiwa barua ilopuliziwa poda na perfume za YOLANDA, COBRA, YU e.t.c.
One of my speacial romantic moment happens in a nip...
a nibble kiss on my neck just below my left ear.. him
standing from the back.. not wanting do go third base
but just kissing for the sake of kissing... It always works
wonders... and It infuses my whole with so much love...