Special Romantic Moments......

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Wapendwa wanaJF

Ni matumaini yangu wote mu wazima. Nimewamiss sana wote.

Kwa mara nyingine tena ninawaomba tushee pamoja baadhi ya kumbukumbu (memories) ambazo tulishawahi kuzipitia kwenye maisha yetu ya mahusiano. Ninaelewa wengi mlishazipitia zile 'Romantic Moments" ambazo zilikufanya ujisikie kuwa wewe ni A VERY SPECIAL PERSON katika maisha ya huyo alokupa hiyo great romantic moment. Najiuliza tu

Je unaonyeshaje kuwa umeridhika, umefurahia na unamshukuru vipi kwa kukupatia nafasi hiyo au tunachukulia tu ni jukumu lake kukupa good times kwa kuwa tu u her/his chosen one? How do you show your appreciation?
 
1.ingefaa zaidi uanze wewe mkuu.
2.kwangu mimi sina cha kuandika.sio hazipo,ni kuwa zipo ila haziandikiki.
 
...namimi nimeli miss jukwaa hili kwakweli...mwanajamiione, treasure the moment & sweet memories.
Nikijitolea mfano wangu binafsi, natabasamu nikikumbukia masaa machache yaliyopita nilikuwa najipendelea
mbugani kwenye romantic retreat moja inayotizama korongo kuu;

arusha.jpg

....tabasamu lililokuwa linaupamba uso wa madame, muda wote nilokuwa
nae safarini lanitosheleza na lanipa tabasamu na furaha tele moyoni...
na wala sihitaji malipo ya aina yoyote, kwani lengo nia na madhumuni ilifikiwa
i.e...kufurahi pamoja..
 
mbu una hatari sana lol

aisee acha tu,...nimeng'atwa na mbung'o huko katika harakati za kumfurahisha madame, and it worth every penny aisee....nasubiria maumivu yakizidi nikamuone dakitari, otherwise, the retreat was excellent na madam hakuwa yule mwenye gubu la 'tunaharibu hela....!' yeye ni smiles tu...aisee maisha haya ni raha sana bana...
you only live once....kujipendelea muhimu!

long tym bro, kwema?
 
Sijui kama nimeelewa vizuri,

Ila huwana nahisi nimepata lift ya watu wa NASA nikimsikia mdau wangu akiomba msaada wa majirani baada ya kunogewa na dinner!!

Hii nayo imo???

Halafu wewe....Ulipotelea/potezewa wapi????
 
Sweet Eazy
Mpenzi wangu Nyani Ngabu (Mpenzi kaka nsijevunjiwa screen bure)
Funguka bana.............how do you interprete mpenzio (wa kweli ) akikupa treat inayokufanya ujisikie u special kwake..unaichukulia ni wajibu wake kwa kuwa wewe u mpenzi wake au unamshukuru? Na ukimshukuru unamshukuruje?
Funguka mydia! you never know watu wanawezafall online ati!! (joke)
 
aisee acha tu,...nimeng'atwa na mbung'o huko katika harakati za kumfurahisha madame, and it worth every penny aisee....nasubiria maumivu yakizidi nikamuone dakitari, otherwise, the retreat was excellent na madam hakuwa yule mwenye gubu la 'tunaharibu hela....!' yeye ni smiles tu...aisee maisha haya ni raha sana bana...
you only live once....kujipendelea muhimu!

long tym bro, kwema?

mkuu kwema
we want more guys like you....
tupunguze malalamiko aisee....
 
...namimi nimeli miss jukwaa hili kwakweli...mwanajamiione, treasure the moment & sweet memories.
Nikijitolea mfano wangu binafsi, natabasamu nikikumbukia masaa machache yaliyopita nilikuwa najipendelea
mbugani kwenye romantic retreat moja inayotizama korongo kuu;

arusha.jpg

....tabasamu lililokuwa linaupamba uso wa madame, muda wote nilokuwa
nae safarini lanitosheleza na lanipa tabasamu na furaha tele moyoni...
na wala sihitaji malipo ya aina yoyote, kwani lengo nia na madhumuni ilifikiwa
i.e...kufurahi pamoja..

Asante....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
1.ingefaa zaidi uanze wewe mkuu.
2.kwangu mimi sina cha kuandika.sio hazipo,ni kuwa zipo ila haziandikiki.
Tall mydia nadhani sijakuelewa.........nianze mimi kufanyaje??
Hizo zisizoandilkika ni nini? Memories au jinsi ya kuappreciate?? Hebu funguka ndugu yangu tushee.........wengine sie maguberi ni wale wa ....acha anunue si ananipenda!!! Au hee niseme aksante kwa kuninunulia usafiri kwa kisa gani?? yeye si ananipenda lazima ahakikishe sipati tabu ya daladala wala kuchomwa na jua!!
 
Tunawasubiri waliopitia watu madata, wengine ni ndoto mpaka sasa, all relations i had ni kero tu, sitaki hata kuzikumbuka.

REmmy jamani mbona unaniangusha?? haiwezekani iwe kero tu bana otherwise usingemkubali awe wa ubani wako!! Good memories zinajumlisha hata zile za wakati mnaanza urafiki....zile za kuandikiwa barua ilopuliziwa poda na perfume za YOLANDA, COBRA, YU e.t.c.
 
One of my speacial romantic moment happens in a nip...
a nibble kiss on my neck just below my left ear.. him
standing from the back.. not wanting do go third base
but just kissing for the sake of kissing... It always works
wonders... and It infuses my whole with so much love...
 
Wewe ni hatari sana,

Kumbe uliyaona hayo na barua uliandika...???

Halafu kule boarding kulikuwa na wataalamu wa kujiandikia barua na kutumia stamps za kufuta (re-use) ili waonekane ni never miss!!!

Haki ya nani tumetoka mbali......Na hapo hujaongelea issue ya TMO!!!!
 
One of my speacial romantic moment happens in a nip...
a nibble kiss on my neck just below my left ear.. him
standing from the back.. not wanting do go third base
but just kissing for the sake of kissing... It always works
wonders... and It infuses my whole with so much love...

Ungekuwa reachable basi cable yako ilikuwa imetua kwenye wikileak!!!
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom