Special Report by Adrian Salbuchi

Asante ndugu Mandago,

Propaganda za magharibi zinazidi kufichuka.

Nia yao ni kupata chance ya kuiba Petroll na kutawala inchi za watu.

Naona huyu Bin Laden anazo roho 9

kila mara wanatangaza wamemua (kisha kufa zaidi ya mara 8 sasa)

Halafu mara hii eti kazikwa baharini!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom