Special message to Mama Janeth Magufuli

Tuache uongo jamani....chuma alikuwa anakubalika sanaaaa kitaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa miongoni mwa wasio na akili na maskini waliohitaji faraja alikuwa anakubalika ndio japo sio kwa wakulima..

Madikteta wote huwa wanajifanya kuipigania maskini Ila huwa Ni maneno meeengi hivyo hivyo kina Nyerere
 

Wakati mume wake anaendesha ukatili hakujua mwisho wa mumewe utakuwa mbaya? Hapo alipo anapewa mrejesho wa udhalimu wa mumewe.
 

Ukweli ni kwamba leo mtu mzima amekosea, ameropokwa na ametia aibu.
Kauli yake haikuwa ya afya na Rais amejua alimaanisha nini na ndio maana akashindwa kuikalia kimya.

Makamba karusha jiwe gizani, watu wanapiga mayowe ya uchungu.
 

Ukweli ni kwamba Lissu kupona ndio kulikomfanya yule dikteta afe maana hakuamini ameponaje. Kupona kwa Lissu ndio kilikuwa kifo Cha dikteta. Damu ya mtu ni nzito kuliko maji.
 
Mungu ipokee roho ya Ben SaaNane , Amina .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…