mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,402
Aisee kumbe kichwa umejaza utoko?Acha uchochezi na uchongqnishi mleta mada. Hakuna aliyemnanga jiwe leo. Hayo ni mawazo yako tu.
Hebu mtaje mtu aliyemtaja jiwe kwa jina lake. Vinginevyo ni uzushi na uzandiki tu unaojaribu kuueneza.
Kwani lissu kafa?Hata sisi familia ya azori na tundu lisu imetuuma sana.kengee ww
Sijamsikia. Ila nimewasoma hapa. Sema Ni Kama anawatafutia sababu ili wage.Umemsikia Babu Yako.Makamba? Hao ndio wenye nchi sasa. Kaa kwa kutulia.
Mkuu Mtazamo kumbe uneijua Injili yoote hii lakini ukawa unafurahia Lissu Kupigwa risasi?Mariamu akasema, Moyo wangu wamwadhimisha Bwana,
Na roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu;
Kwa kuwa ameutazama Unyonge wa mjakazi wake. Kwa maana, tazama, tokea sasa Vizazi vyote wataniita mbarikiwa;
Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu, Na jina lake ni takatifu.
Na rehema zake hudumu vizazi hata vizazi Kwa hao wanaomcha.
Amefanya nguvu kwa mkono wake; Amewatawanya walio na kiburi katika mawazo ya mioyo yao;
Amewaangusha wakuu katika viti vyao vya enzi; Na wanyonge amewakweza.
Wenye njaa amewashibisha mema, Na wenye mali amewaondoa mikono mitupu.
Amemsaidia Israeli, mtumishi wake; Ili kukumbuka rehema zake;
Kama alivyowaambia baba zetu, Ibrahimu na uzao wake hata milele.
Unasimama naye au unazikwa naye?Hizo ni kelele za mafisadi wachache waliozibiwa mianya yao ya kitapeli; Watanzania wengi tunasimama na Magufuli. Mama Magufuli awe na moyo mkuu!
Mbona mnatukana sana leo kuna nini?
Imesikitisha sana....ila kila chenye mwanzo kina mwisho.Habari mama,
Pole sana kwa msiba wa mumeo!, alikuwa great leader na wananchi wengi wanamkumbuka kwa utumishi wake ingawa ulikuwa mfupi kuliko kiongozi yeyote aliyetawala nchi yetu.
Hiyo Pole niliyotoa ni ya kawaida kwasisi binadamu maana wote tumefiwa wapendwa wetu lakini lengo kuu ni Pole kwa unayosikia na kuona kejeli na kubagazwa kwa marehemu mume wako hadharani bila woga tena kwa mambo mengine yasiyo msingi.
Sikia mama, mume wako alitimiza wajibu wake bila kujali pale alipokosea lakini wewe u hai ubavu wake ukisikia maneno magumu sana. Pengine unalazimika kuwatia moyo watoto lakini wewe mwenyewe umebeba mzigo mzito.
Imagine hata leo maneno yaliyotamkwa mbele yako! Tushukuru mama Samia walau kutuliza moyo wako baada ya maneno magumu leo lakini sio rahisi.
Endelea kuvumilia malimwengu, endelea kuipenda Tanzania! Jipe moyo kama Bikira Maria alivyojipa moyo alivyoshuhudia mwanae akiteswa na kufa msalabani!
Endelea kujipa moyo kama Bikira Maria alivyovumilia hata waliomtenda ubaya Yesu walipoeneza uzushi dhidi yake kuwa wanafunzi wake wamemwiba hakufufuka. Haikuwa rahisi ila moja ya tunu tunayojifunza juu ya Bikira Maria mara nyingi ni yote aliyaweka moyoni!
Kasome utenzi wa Bikira Maria Luka 1: 46-55 Ukutie nguvu. All shall be well [emoji120]
Ukweli kauli iliyotamkwa na msemaji huyo mbele yako Rais na waTanzania wengi, inakutia doa la ubinadamu huyu mzee ameyatamka hata yasiyo na mwelekeo kisa Kwa kuwa mtoto wake ana nafasi. Sasa na wewe mwenyewe uyatafakari hayo na Yale mwanae anayowatendea na Kuwajibu waTanzania!! Ifike mahali uelewe Hawa njaa Kali waliyoweka kwenye EC yako sio wote waaminifu ni wasaka tonge tu!! Kazi unayo.Habari mama,
Pole sana kwa msiba wa mumeo!, alikuwa great leader na wananchi wengi wanamkumbuka kwa utumishi wake ingawa ulikuwa mfupi kuliko kiongozi yeyote aliyetawala nchi yetu.
Hiyo Pole niliyotoa ni ya kawaida kwasisi binadamu maana wote tumefiwa wapendwa wetu lakini lengo kuu ni Pole kwa unayosikia na kuona kejeli na kubagazwa kwa marehemu mume wako hadharani bila woga tena kwa mambo mengine yasiyo msingi.
Sikia mama, mume wako alitimiza wajibu wake bila kujali pale alipokosea lakini wewe u hai ubavu wake ukisikia maneno magumu sana. Pengine unalazimika kuwatia moyo watoto lakini wewe mwenyewe umebeba mzigo mzito.
Imagine hata leo maneno yaliyotamkwa mbele yako! Tushukuru mama Samia walau kutuliza moyo wako baada ya maneno magumu leo lakini sio rahisi.
Endelea kuvumilia malimwengu, endelea kuipenda Tanzania! Jipe moyo kama Bikira Maria alivyojipa moyo alivyoshuhudia mwanae akiteswa na kufa msalabani!
Endelea kujipa moyo kama Bikira Maria alivyovumilia hata waliomtenda ubaya Yesu walipoeneza uzushi dhidi yake kuwa wanafunzi wake wamemwiba hakufufuka. Haikuwa rahisi ila moja ya tunu tunayojifunza juu ya Bikira Maria mara nyingi ni yote aliyaweka moyoni!
Kasome utenzi wa Bikira Maria Luka 1: 46-55 Ukutie nguvu. All shall be well [emoji120]
kila mtu na mtazamo wake...Habari mama,

Sijawahi kufurahia Lissu kupigwa risasi. Baada ya Dr Slaa, Lissu ndio mwanasiasa ninayemhusudu. Mengine yana mengi nisingependa twende huko.Mkuu Mtazamo kumbe uneijua Injili yoote hii lakini ukawa unafurahia Lissu Kupigwa risasi?
Leo ndio umeikumbuka Injili?
Mbona maneno ya Makamba ni ya kawaida tu. Wale ni wanasiasa wanapenda kuambiana vimaneno maneno saa nyingine havina hata maana.
Ajue hayuko peke yake. Kila raia wa kawaida ambao ndio tupo wengi bado tunabubujikwa machozi. Na hawa tunajua Mungu atawalipa kwa namna ya ajabu. Maana chozi la mnyonge halitadunda bure sakafuni.
Alipomchagua Mwendazake kuwa mumewew kwa tabia zile akubali kubeba matokeo ya Matendo na kauli za Mwendazake..Habari mama,
Pole sana kwa msiba wa mumeo!, alikuwa great leader na wananchi wengi wanamkumbuka kwa utumishi wake ingawa ulikuwa mfupi kuliko kiongozi yeyote aliyetawala nchi yetu.
Hiyo Pole niliyotoa ni ya kawaida kwasisi binadamu maana wote tumefiwa wapendwa wetu lakini lengo kuu ni Pole kwa unayosikia na kuona kejeli na kubagazwa kwa marehemu mume wako hadharani bila woga tena kwa mambo mengine yasiyo msingi.
Sikia mama, mume wako alitimiza wajibu wake bila kujali pale alipokosea lakini wewe u hai ubavu wake ukisikia maneno magumu sana. Pengine unalazimika kuwatia moyo watoto lakini wewe mwenyewe umebeba mzigo mzito.
Imagine hata leo maneno yaliyotamkwa mbele yako! Tushukuru mama Samia walau kutuliza moyo wako baada ya maneno magumu leo lakini sio rahisi.
Endelea kuvumilia malimwengu, endelea kuipenda Tanzania! Jipe moyo kama Bikira Maria alivyojipa moyo alivyoshuhudia mwanae akiteswa na kufa msalabani!
Endelea kujipa moyo kama Bikira Maria alivyovumilia hata waliomtenda ubaya Yesu walipoeneza uzushi dhidi yake kuwa wanafunzi wake wamemwiba hakufufuka. Haikuwa rahisi ila moja ya tunu tunayojifunza juu ya Bikira Maria mara nyingi ni yote aliyaweka moyoni!
Kasome utenzi wa Bikira Maria Luka 1: 46-55 Ukutie nguvu. All shall be well [emoji120]
Ukiona unasemwa sana ujue uliwazidi kwa kila kitu
Asante sana. Mungu akubariki.Sijawahi kufurahia Lissu kupigwa risasi. Baada ya Dr Slaa, Lissu ndio mwanasiasa ninayemhusudu. Mengine yana mengi nisingependa twende huko.