Special message to Mama Janeth Magufuli

Aaaamen.

Justice is coming,

God has remembered our nation, Tanzania.
 
Wengine hatukuwepo ...walisema nini?
Mh. Makamba baba yake January kasema kuwa Kinana na Kikwete hawajafa maana watu wabaya huwa wanakufa akimaanisha Dkt Magufuli alikuwa mtu mbaya ndiyo maana alikufa, Mkapa alikufa kwa sababu alikuwa mtu mbaya, Mwl Nyerere alikufa kwa sbabau alikuwa mtu mbaya, Mzee Karume alikufa kwa sababu alikuwa mtu Mbaya, Horace Kolimba alikufa kwa sababu alikuwa mtu Mbaya …..
 
Kwani kumetokea nini?
 
Ukweli mchungu ni kwamba laana ya tundu lisu inawatafuna sana . MUNGU HAKULIACHA lipite hivi hivi
Kwa akili yako aliyokuwa anayofanya huyo mmeo unaona Ni sawa kwa akili. Mwamba alikuwa anawatafutiwa mwanya wavunje sheria watengue contracts za madini za gesi ili iwe kwa faida yetu sote. Wewe unaropoka. Nikuambie wenye vidomo Domo wanamalizwa ili wanyamaze. Nchi nyingi mno wanafanya viongozi mkuu. Soma history.
Ila tuache, mie nilikuwa na machungu na nchi inavyoliwa na wachache.
 
Kuna vibabu mule kwenye kile chama, vinajifanya miungu watu yani bila wao hakuna wa kukohoa. Siku zinakuja ambapo watanzania watachoka huu upuuzi unao endelea.
Watanzania wepi? Mtasubiri sana. Vibabu vinaongoza nchi vizuri tu.
 
Nimesoma ,nikahuzunika sana ,anaway,hawa wazee walimtenda yule marehemu
 
Umemsikia Babu Yako.Makamba? Hao ndio wenye nchi sasa. Kaa kwa kutulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…